Hii ni special kwa wanaume hasa walio katika ndoa.....

cheupe sr

Senior Member
Joined
Aug 18, 2012
Posts
102
Reaction score
34
Ni kitambo sasa nimekuwa nawaza hivi inakuaje mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa wakati mume ulimpenda mwenyewe na mkakubaliana kwa moyo kabisa kuishi pamoja kama mume na mke.. that means umemkubali kwa kila kitu...Kwa wewe mwanaume ambaye umeoa na mkeo anakuonyesha mapenzi yote na kukupa na huduma muhimu zinazohitajika, si kwamba ujione tena wewe ndo kama Mungu na kuanza kunyanyua mabega juu kana kwamba mkeo anaomba kazi kwako, onyesha mapenzi na wewe kwa mwenzio. Naweza kusema kwa asilimia kubwa wanaume wengi hawana mahaba ya dhati kwa wake zao. Though wakati mnaoana mapenzi yalikuwepo. Mfano mwanaume haujui kuappreciate chochote mkeo anachofanya pia always chochote anachosema mkeo ni lazima upinge.. Why for God sake.. Hii hali inazidi kuwa mbaya kwa wanaume naweza kusema ma HB.. wana hizi tabia sana sana sana...Hata kama na wewe ni beauty lady lakini lazima akufanyie mapozi kidogo na vi maringo maringo vya hapa na pale.. Jamani mapenzi ni two way traffic, sio eti mimi nifanye kazi ya kukupenda wewe na kukuhudumia kama mke halafu wewe usinionyeshe any affection, unafikiri uhusiano huu utadumu kwa muda gani?? Unajua wanaume wamekaa kutulaumu tu wanawake mara ooh hawajitumi lakini mi nasema chanzo cha yote hayo ni wewe mwanaume.. wewe umetekeleza wajibu wako wa kumpenda mkeo? Wanawake nawaze nikasema kwa asilimia kubwa sana wako very flexible na hasa kwenye mahusiano. utakavyo mtreat mwanamke kwenye uhusiano nivyo naye atakavyo respond.. Usitegemee treatment nzuri kutoka kwa mkeo wakati wewe mwenyewe haumfanyia hiyo treatment, au wanawake wao hawahitaji mapenzi??? Men you should change your attitude and at least show love to your partners otherwise am telling you hao wanawake walio kwenye ndoa wanahangaika hawatafuti kingine zaidi ya affections only.... Stay blessed all of you and good day.
 
believe me, hii ni case ya mtu na mtu. Kuna wanaume ambao wanajitahidi kufanya kila kitu kwa wadada lakini wadada hawawapendi kihivyo wanawashobokea wakaka wasio wapenda. Kama vile wewe ulivyong'ang'ania kwa kaka huyo asokupenda ilhali wakaka wanaokupenda kwa dhati huwapi nafasi na kwanza unawaona kama wanakuchefua tu kwa kukufuatilia.

Ndivyo mapenzi yalivyo na ndivyo yatakavyoendelea kuwa hata kama tukijaza server yote ya JF kwa kukemea. Treat your case kama ilivyo.
 
Dada Kaunga uko very right.
Mimi ntasema pia kuwa hiyo ni ndoa na ndoa ndo hayo mambo hapa unakuta mwanaume ndo anajipendekeza na pale mwanamke.
Wanawake wengi wanapenda kupewa vijizawadi mara kwa mara na matumizi mbalimbali kwa frequency kubwa, hapa sasa mwanaume hata uoneshe vipi kumjali anachotaka yeye ni zawadi na umtimizie mahitaji yake ya kifinancial. Sasa mwanaume unahangaika weee kumuonesha unajali unakujagundua anakudharau just because u r not giving enough $s!

Ikifikia hapo unagundua ukitaka kumfurahisha ni umtimizie mahitaji yake ya kifedha zaidi, basi ukiconcentrate kumtafutia hizo hela ndo malalamiko kama haya huja!
At the end of the day unakujagundua kuwa its near imposible to please the woman so inabidi tu uishi naye kimagumashi hivi hivi huku UKIMPA HELA!!
(Basically wanawake wengi tamaa nyingi so solution ni kuwapa tu hizo hela)
 
Dhana ya "Mpende akupendaye ni ngumu kiutekelezaji kwa kweli"
Kuna watu hata umpende vipi walaaaaa hapendeki na hajui kupendeka....................!
 
Bwana mambo ya mapenzi ni pasua kichwa kwa kweli, ukute nanyi hizo struggle mnazifurahia; ukipata mdada anayeridhika kirahisi kwa vitu vidogo anawaboa kisa hawapi changamoto za kutosha, ila msumbufu msumbufu ndiye haswaa anayeuteka moyo wako.
 
umeona eeh, ni ngumu sana kuulazimisha moyo kumpenda mtu ambaye haujataka kumpenda; waweza ku-coexist naye hata kwa ndoa lakini kumpenda inaweza isifanye kazi vizuri.
 
believe me, hii ni case ya mtu na mtu. Kuna wanaume ambao wanajitahidi kufanya kila kitu kwa wadada lakini wadada hawawapendi kihivyo wanawashobokea wakaka wasio wapenda. Kama vile wewe ulivyong'ang'ania kwa kaka huyo asokupenda ilhali wakaka wanaokupenda kwa dhati huwapi nafasi na kwanza unawaona kama wanakuchefua tu kwa kukufuatilia.

Ndivyo mapenzi yalivyo na ndivyo yatakavyoendelea kuwa hata kama tukijaza server yote ya JF kwa kukemea. Treat your case kama ilivyo.

Nashukuru kaunga kwa mchango wako wa dhamani kubwa, lakini labda nikwambie mambo mawili , kwanza mshukuru Mungu kwa huyo uliyekuwa naye kukuonyesha mapenzi ya dhati na umuombee asibadilike maana maisha huwa yanabadilika kila uchao. Pili kama unakumbuka vizuri nimezungumzia wanaume asilimia kubwa na sio wote. Hata mimi ninamifano ya wanaume wanaokuwa na affections za kutosha kwa partners wao.. So si wote.. na lengo kuleta huu uzi humu JF si kujaza server kama unavyofiri ni katika kukumbushana majukumu yetu ya kila siku na kuboresha mahusiano. It is very likely kwamba wewe huu uzi haukugusi kabisa, so be thankfull to God.
 
Dada Kaunga uko very right.
Mimi ntasema pia kuwa hiyo ni ndoa na ndoa ndo hayo mambo hapa unakuta mwanaume ndo anajipendekeza na pale mwanamke.
Wanawake wengi wanapenda kupewa vijizawadi mara kwa mara na matumizi mbalimbali kwa frequency kubwa, hapa sasa mwanaume hata uoneshe vipi kumjali anachotaka yeye ni zawadi na umtimizie mahitaji yake ya kifinancial. Sasa mwanaume unahangaika weee kumuonesha unajali unakujagundua anakudharau just because u r not giving enough $s!

Ikifikia hapo unagundua ukitaka kumfurahisha ni umtimizie mahitaji yake ya kifedha zaidi, basi ukiconcentrate kumtafutia hizo hela ndo malalamiko kama haya huja!
At the end of the day unakujagundua kuwa its near imposible to please the woman so inabidi tu uishi naye kimagumashi hivi hivi huku UKIMPA HELA!!
(Basically wanawake wengi tamaa nyingi so solution ni kuwapa tu hizo hela)

Kumbuka hapa hatuzungumzii pesa hata kidogo. Tunazungumzia mapenzi ya dhati, na caring ya mwanamke wala sio lazima pesa na hizo zawadi lukuki.. ni the way unavyo mtreat na kumjali.. that's it.. Hapa sio mambo ya kuitana baby, au ooh sweet, hapana. Hivyo vinajulikana vipo tu na mtu pia anaweza akakuita majina yota hayo lakini in really sense hamaanishi na unamuona kabisa hamaanishi..
 
Nashukuru kaunga kwa mchango wako wa dhamani kubwa, lakini labda nikwambie mambo mawili , kwanza mshukuru Mungu kwa huyo uliyekuwa naye kukuonyesha mapenzi ya dhati na umuombee asibadilike maana maisha huwa yanabadilika kila uchao. Pili kama unakumbuka vizuri nimezungumzia wanaume asilimia kubwa na sio wote. Hata mimi ninamifano ya wanaume wanaokuwa na affections za kutosha kwa partners wao.. So si wote.. na lengo kuleta huu uzi humu JF si kujaza server kama unavyofiri ni katika kukumbushana majukumu yetu ya kila siku na kuboresha mahusiano. It is very likely kwamba wewe huu uzi haukugusi kabisa, so be thankfull to God.

Samahani, naona hukunipata vizuri na labda machaguzi yangu ya maneno yameleta maana ambayo sikukusudia. Mapenzi nafikiri yanamgusa mtu mzima yoyote, hivyo huu uzi pamoja na mingine mingi kama hii, ime na inanigusa kila siku na upande mkubwa ndio imenikomaza kiasi kwamba nachukulia hali kama ilivyo ofcourse baada ya kutafakari kwa kina umuhimu wa current uhusiano au la.
Siko vizuri kimahusiano so usidhani kwamba niko okay; na kuhusu idadi kubwa ya wanawake kuwa wahanga kuliko wanaume sina hakika nayo sana; ila nilicho na uhakika nacho ni kwamba wanawake tunajieleza zaidi nje (kwa watu) pindi tunapofikwa na maswahibu ya mahusiano kuliko wanaume (which is good, maana a problem shared is half shared), so huenda maumivu ya mapenzi ni kama ngoma draw hivi.
 
Mie nadhani mwanamke anatoka nje ya ndoa kwa sababu dushelele haisimami na sipigi mashine kama zamani coz sukari inasumbua na presha ianapanda nimekuwa mnene sana..so anatafuta mbadala wa tatizo lake la kutogongwa mara kwa mara.

Pia nahisi..amepata pesa nyingi kuliko matumizi coz amepandishwa cheo sasa anatumia pesa kwenye starehe na vijana mie mumewe nishazeeka.

Na wengineo ila sio mke wangu..wanataka wakaonje ladha ya kuliwa kabang...coz kuniambia mie mumewe nimle kabang anaogopa so for curiosity anatoka nje akaliwe kabang..ndo maana uchunguzi umeonyesha asilimia mpaka 90 ya wanawake wa watu wanaotoka nje wanaliwa kabang.

Wengine watakuja kutoa ushuhuda juu ya wanayo-yafahamu au hata kuhisia tuu.
 
Tabu kweli kweli.... Kimsingi haijalishi mke au mume nimeona wengi sio wote mmoja akiwa anapenda sana mwingine hupenda kidogo. wa kufanana wako wachache. Ila nahisi wapo japo sijaona.

Ni kitambo sasa nimekuwa nawaza hivi inakuaje mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa wakati mume ulimpenda mwenyewe na mkakubaliana kwa moyo kabisa kuishi pamoja kama mume na mke.. that means umemkubali kwa kila kitu...Kwa wewe mwanaume ambaye umeoa na mkeo anakuonyesha mapenzi yote na kukupa na huduma muhimu zinazohitajika, si kwamba ujione tena wewe ndo kama Mungu na kuanza kunyanyua mabega juu kana kwamba mkeo anaomba kazi kwako, onyesha mapenzi na wewe kwa mwenzio. Naweza kusema kwa asilimia kubwa wanaume wengi hawana mahaba ya dhati kwa wake zao. Though wakati mnaoana mapenzi yalikuwepo. Mfano mwanaume haujui kuappreciate chochote mkeo anachofanya pia always chochote anachosema mkeo ni lazima upinge.. Why for God sake.. Hii hali inazidi kuwa mbaya kwa wanaume naweza kusema ma HB.. wana hizi tabia sana sana sana...Hata kama na wewe ni beauty lady lakini lazima akufanyie mapozi kidogo na vi maringo maringo vya hapa na pale.. Jamani mapenzi ni two way traffic, sio eti mimi nifanye kazi ya kukupenda wewe na kukuhudumia kama mke halafu wewe usinionyeshe any affection, unafikiri uhusiano huu utadumu kwa muda gani?? Unajua wanaume wamekaa kutulaumu tu wanawake mara ooh hawajitumi lakini mi nasema chanzo cha yote hayo ni wewe mwanaume.. wewe umetekeleza wajibu wako wa kumpenda mkeo? Wanawake nawaze nikasema kwa asilimia kubwa sana wako very flexible na hasa kwenye mahusiano. utakavyo mtreat mwanamke kwenye uhusiano nivyo naye atakavyo respond.. Usitegemee treatment nzuri kutoka kwa mkeo wakati wewe mwenyewe haumfanyia hiyo treatment, au wanawake wao hawahitaji mapenzi??? Men you should change your attitude and at least show love to your partners otherwise am telling you hao wanawake walio kwenye ndoa wanahangaika hawatafuti kingine zaidi ya affections only.... Stay blessed all of you and good day.
 
Bwana mambo ya mapenzi ni pasua kichwa kwa kweli, ukute nanyi hizo struggle mnazifurahia; ukipata mdada anayeridhika kirahisi kwa vitu vidogo anawaboa kisa hawapi changamoto za kutosha, ila msumbufu msumbufu ndiye haswaa anayeuteka moyo wako.
Perharps hapa ni pale na sisi inapokuwa, mdada akiwa mrahisi sana wewe kumuhandle basi umamtake for granted na saa nyingine unamuona cheap hadi mnaachana kisha unakujajuta. Akuletea changamoto unalalamika then unamuacha. ili mradi nothing pleases you. Human behaviour
 
Kumbuka hapa hatuzungumzii pesa hata kidogo. Tunazungumzia mapenzi ya dhati, na caring ya mwanamke wala sio lazima pesa na hizo zawadi lukuki.. ni the way unavyo mtreat na kumjali.. that's it.. Hapa sio mambo ya kuitana baby, au ooh sweet, hapana. Hivyo vinajulikana vipo tu na mtu pia anaweza akakuita majina yota hayo lakini in really sense hamaanishi na unamuona kabisa hamaanishi..

Mdada usipompa hela sweet, honey, love, baby mzigo tu nakuambia...nani hapendi kupelekwa fancy restaurants ama shopping? na ukimfanyia hivyo hahesabu hela ye anasema tu unamjali.....They all say its about caring n not about money but mwisho wa siku mwanaume utatoboka tu!
 
Last edited by a moderator:
Kumbuka hapa hatuzungumzii pesa hata kidogo. Tunazungumzia mapenzi ya dhati, na caring ya mwanamke wala sio lazima pesa na hizo zawadi lukuki.. ni the way unavyo mtreat na kumjali.. that's it.. Hapa sio mambo ya kuitana baby, au ooh sweet, hapana. Hivyo vinajulikana vipo tu na mtu pia anaweza akakuita majina yota hayo lakini in really sense hamaanishi na unamuona kabisa hamaanishi..
Mdada hapa umechanganya vitu vingi mno... Kucheat haimaanishi kuwa mara zote ni dalili ya ukosefu wa upendo wa dhati. Its a litle bit more...
 
makavu laive...ngumu kumesa...hata hivyo watu walio wengi (wa jinsia zote) hawajui upendo ni nini haswa.

Jaribu kufanya utafiti kidogo, waulize watu ulio karibu nao kwa wingi kadri utakavyowapata swali hili-Upendo ni nini?

Ni nadra sana kukuta majibu ya watu wawili kufanana. Wengi huchanganya upendo na hisia (emotions) jambo ambalo si sahihi.

Hisia huja na kuisha lakini upendo ni ama upo au haupo. Ukiwepo upo tu hata hisia zikipungua au kwisha upendo unabaki constant!
 
believe me, hii ni case ya mtu na mtu. Kuna wanaume ambao wanajitahidi kufanya kila kitu kwa wadada lakini wadada hawawapendi kihivyo wanawashobokea wakaka wasio wapenda. Kama vile wewe ulivyong'ang'ania kwa kaka huyo asokupenda ilhali wakaka wanaokupenda kwa dhati huwapi nafasi na kwanza unawaona kama wanakuchefua tu kwa kukufuatilia.

Ndivyo mapenzi yalivyo na ndivyo yatakavyoendelea kuwa hata kama tukijaza server yote ya JF kwa kukemea. Treat your case kama ilivyo.
Saa nyingine mapenzi ni complex sana, maana tunowapenda hawatupendi na wale tusiowapenda ndiyo wanaotupenda! Zaidi ya hapo pia kuna nia fulani iliyojificha ktk moyo wa mtu kwenye mahusiano husika, wengine ni upendo wa kweli, wengine ni fedha, wengine umaarufu nk nk, ni siri kubwa!!!
Ila yote katika yote ni vyema kulizungumzia hili kupunguza ukubwa wa tatizo badala ya kulichukulia +ve na kulihalalisha kwa namna fulani na kubadili maana halisi ya ndoa. Ni hatari kwa mustakabali wa kizazi kijacho.
 
mapenzi ni kizungumkuti na hayana fomula,,,, zaidi ya yote wengine ni magumegume tu hayawezi kuridhika na wakipatacho period!!!!!!
 
Back
Top Bottom