Hii ni siri inayonitesa!

Aisee!pole sana,kisaikolojia bado litakusumbua najua hii ni hatua ya kwanza ya pili tafuta watu2 au 3 zungumza nao kwa ukaribu,Mungu akutangulie
Acha hiyo kazi mara moja. Hama na mkoa utafute kazi sehemu nyingine.
 
Look maam, there is no going back. Hata kama ukitaka kufikiri kwamba hii ilikuwa ndoto, it can't be. So Pole sana....wanasema Maji yakishamwagika....But you have a lot of LIFE AHEAD of you...and eventhough I do not know you....you seem like you have the potential to attain or achieve whatever you set in mind as a goal...Don't beat yourself too much, you have already done that...actually nakupa Hi-5 kwa kuwapa watu hapa talking points...maana JF kila mtu mtaalamu, kila mtu ni therapist. wengi hapa tunajua ku point fingers,ni wachache sana hapa wanaosema POLE, don't worry, this too shall pass...etc. I mean ni wachache sana hapa wanajenga...most of them wana VUNJA. So umeshatubu na nafsi yako imekushtaki, na I guess you have mourned so many times..cried so many times...Now its time for redemption. Wote sisi tuna maskeleton kibao kwenye closets zetu na zinatutesa haswa...I congratulate you kwa ujasiri ulio nao wa ku come forward. So from now on no mourning no more...live live, celebrate life...sali sana, mwombe Mungu akuongoze, have fun, love yourself....anza leo...anza sasa hivi. Be blessed.
 
Jamani tuwe wakweli,wanawake wengi ambao wanaomba ajira siku hizi hujikuta wakifanya mapenzi na waajiri kabla ya kupata kazi,hili limekuwa tatizo kubwa na mtu unakuwa huna la kufanya kwa kuwa unaitaka kazi na mwisho wake ndio kama uliomtokea mdau hapa.

Pole sana kwa kuliwa tigo maana wenzako hutoa kawaida,wanawake humu JF vipi maboss wenu hawakula tunda wakati mnataka kazi?????
 

Haya ni mazungumzo baada ya habari. Heko kwa kutuchekesha.
Mwanamke mwenye kujiheshimu, tena mwenye pay scale za UN hawezi kuwa mjinga na cheap kiasi hiki.
Nice try!!
 
Kinachokutesa ni kuwa ulishajipangia bei ya kupata hiyo post [sex]. Na pengine ulijua hata chenji ingerudi[mngeendelea na uhusiano huo haramu kwa kipindi kirefu zaidi] Bahati mbaya ukalanguliwa[anal sex]. Ukaipata hiyo post. Sasa badala ya kurudi chenji,wewe ndiyo umeingia deni la muda mrefu na lenye interest kubwa kama la Bayport... Kifupi sali kwa Mungu wako!
 
pole kwa upuuzi ulofanya
tamaa ilizidi ukasahau thamani ya utu wako....
Ningekua mimi ndio wewe angetumia tigo yake mwenyeweeee! :shock:au alkua hana!!???
chunga tamaa mbaya chunga tamaa mbaya(20%)
 
DaH, very shocked!!! Yaani mtu anakaa na jelly tayari tayari tena huku akiamini anakutana na m2 mwenye heshima zake!? Ngoja nikuambie ki2 kimoja Nazjaz, hata kama ni ngumu kumeza.....ni kwamba huyo jamaa tayari alishakuchukulia poa tangu kitambo vinginevyo cjui angeutoa wapi ujasiri wa kukaa na jelly standby....ina maana, alijua tu kwamba utampa unless huyo jamaa awe ni mshenzi kuliko washenzi wengi hapa jijini!! Ngoja nikuambie ki2 kimoja, nakupenda sana we mdada hata kama ckuji; may be labda kv majina ye2 yamefana!! Hivyo, naongea haya kwa uchungu mkubwa!! Kama asingekuchukulia poa, hiyo ki2 asingeomba siku hiyo hiyo tena akiwa tayari amejiandaa tena bila hata ya aibu....hebu jiangalie unaishi vp hapo kazini; kwanini jamaa alikuchukulia poa?! am very sorry, kwa wanaume washenzi kama hao, lazima hapo kazini kawaambia wenzake kwamba amekula tgo yako.....usishangae, cku ukakuta mwingine anakuomba hiyo ki2 kv anajua huwa huna hiana!

My advice is, kwanza usijutie kutoa hiyo ki2 peke yake, bali jutia suala zima la kutoa penzi kwani inaonekana unachojutia ni kutoa hiyo ki2 kuliko kutoa penzi!! Ukiona kutoa penzi ili kupata ukitakacho ni kawaida, basi next time utatoa tena. Na hapo, wakati awali ulitoa hiyo ki2 kwa kukubali mwenyewe, utakuja kutoa hiyo ki2 kwa kulazimishwa, au kwa kushitukizwa....c unajua ile mikao ye2 ile....unashitukia tu jamaa kaenda asikotakiwa kwenda! Mtu anayekupa ki2 cha thamani kwa masharti ya penzi, hawezi kuwa mstaarabu hata kidogo...wa kwanza umempa mwenyewe, wa pili atakula kwa kushitukiza...na kv utakumbuka mbona kuna jamaa alipita huku, utatulia tu hata kama si kwa ridhaa yako na mwisho wa cku utaona kawaida tu!!

Pamoja na yote hayo, kwa sasa unachotakiwa ni kujilazimisha kuamini as if nothing has happened, ingawaje ni ngumu. jichukulie kwamba wewe si wa kwanza, na katu hautakuwa the last victim!
 

Pole sana dada. Ila sijakuelewa hapo uliposema ulijua anataka kipochi chako na wewe ni mtu mzima ulikuwa ukimaanisha nini.
 
Hapo dawa yake tigo ni kama hangover,ongeza kupigwa tigo ,pigwa tigo hadi uizoee ikupe raha isiwe inakuuzi tena uwe addicted na tigo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo dawa yake tigo ni kama hangover,ongeza kupigwa tigo ,pigwa tigo hadi uizoee ikupe raha isiwe inakuuzi tena uwe addicted na tigo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mwezi wa toba huu mkuu
 
nisomo zurii sana kwa mabinti wenye tamaa ila kweli mpaka ukakubali kutoa ndogo...kuna utataa hapo bila saka nawe ulikuwa unapenda ku liwa ndogo na kwambia olewao wa-fi-ra 0 na wa---fi---rwa o.so now meneja umepitia shoti kati hahaha kweli shoti cuti ina cost
 
Mbele ya Muumba wote tu watenda dhambi na tumepungukiwa
Swala lako litakutesa sana kisaikolojia....huku kwenye social ntwks utashauriwa mengi mazuri na mengine yatakukatisha tamaa. Mungu ni mwema na mwenye huruma siku zote, fanya toba ya dhati na atakurehemu.
Ushauri wangu: Tafuta washauri wa kisaikolojia watakusaidia na kama kitengo ulichopo unaweza kupata uhamisho ni afadhali zaidi ukawa mbali na huyo mkubwa wako ili uwe huru kufanya kazi zako.
 
Thats how women are. Usikute una descent man and kids nyumbani. Haya ndo mambo yanayonifanya nisitamani kuoa msomi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…