ymollel
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 3,095
- 2,294
View attachment 1770849
Wakuu nataka kujua hawa wakubwa wanakwendaje na teknolojia ya simu janja
Mh Jakaya Kikwete anatumia simu gani hapo na specifications zake ni zipi?
Galaxy S10 au S10 plus
View attachment 1770849
Wakuu nataka kujua hawa wakubwa wanakwendaje na teknolojia ya simu janja
Mh Jakaya Kikwete anatumia simu gani hapo na specifications zake ni zipi?
Mtoto mbunge, mke mbunge, tunamlisha bure; atakosaje kununua simu ya bei mbaya!Eti inauzwa Tsh 2,300,000. Yaani milion mbili na laki tatu!
Mtoto mbunge, mke mbunge, tunamlisha bure; atakosaje kununua simu ya bei mbaya!
Halafu Inawezekana kaletewa zawadi na “ GSM Home Shopping Centre
Ila huyu Mzee alipata urais akiwa na umri waMtoto mbunge, mke mbunge, tunamlisha bure; atakosaje kununua simu ya bei mbaya!
Halafu Inawezekana kaletewa zawadi na “ GSM Home Shopping Centre “!
Sio kama, ni samsung galaxy s10 plus, prism white.Safi sana naona mzee haja Fuata mkumbo wa Tunda,
Kama wadau huko juu walivyo suggest ni kama s10.
Inawezekana, mi Nimeangalia tu position ya flash na idadi ya camera kuona inatoka Jamii ipi, exactly model siijui.Sio kama, ni samsung galaxy s10 plus, prism white.
Ndiyo hiyo. Nilikua nayo way back 2019 kabla sijahamia kwa S21 ultraInawezekana, mi Nimeangalia tu position ya flash na idadi ya camera kuona inatoka Jamii ipi, exactly model siijui.
Mkuuu lazima itakua yenyewe haiwez kua fugazi alafu kimsimgi hio sio simu mpya niya 2019Kama ni yenyewe basi yuko vizuri anakwenda na muda
Mkuuu lazima itakua yenyewe haiwez kua fugazi alafu kimsimgi hio sio simu mpya niya 2019
Kiufupi yupo nyuma ya muda. Sie wapagazi tu tupo kwenye S21 ultra now