Hahahh..hamna MkuuMkuu mbona unatupa mashaka unataka ujue specifications zake for? Au unataka umvizie upite nayo[emoji12]
Kuuliza sio ujinga KamandaUkishaijua itakusaidia nini wewe binafsi na familia yako???
Sawa mku ila ili kuepusha doubts angeweka wazi anaulizia for what? Anataka kununua kama hiyo ama kufanyaje nayo😉Hahahh..hamna Mkuu
Kijana ana wivu mzuri,so nahisi atakuwa anatamani kununua kama hiyo.
Ok huyu jamaa kwa mtazamo wangu nahisi atakuwa ni mdadisi tuu/anapenda kufahamu...Sawa mku ila ili kuepusha doubts angeweka wazi anaulizia for what? Anataka kununua kama hiyo ama kufanyaje nayo[emoji6]
Sawa mkuu👍Ok huyu jamaa kwa mtazamo wangu nahisi atakuwa ni mdadisi tuu/anapenda kufahamu...
Maneno yake haya hapa...
:Wakuu nataka kujua hawa wakubwa wanakwendaje na teknolojia ya simu janja:
Kabla sijakujibu ikabidi niangalie kwanza profile yako na post ulizoanzisha............ itoshe tu kusema pole mkuu ajira zina wasumbua sana walimu mlliohitimu bila ajira hadi mnachanganyikiwa
Nimekuuliza swali lingine unakuja na vitu vingine sasa kati yangu na wewe ni nani aliyechanganyikiwa kwa maana nilitegemea wewe ambaye hujachanganyikiwa ungejibu swali langu kama nilivyokuulizaKabla sijakujibu ikabidi niangalie kwanza profile yako na post ulizoanzisha............ itoshe tu kusema pole mkuu ajira zina wasumbua sana walimu mlliohitimu bila ajira hadi mnachanganyikiwa
Kuna wengine hawaulizi kuondoa ujinga ila wanakuwa na lengo la kutaka kujionyesha kwamba nao ni wadadisi wa mambo wakati ni wauza sura. Haya, kaambiwa ni samsung galaxy s10 ana hata hela ya kuinunua???Kuuliza sio ujinga Kamanda
Nimekuuliza swali lingine unakuja na vitu vingine sasa kati yangu na wewe ni nani aliyechanganyikiwa kwa maana nilitegemea wewe ambaye hujachanganyikiwa ungejibu swali langu kama nilivyokuuliza
Kuna wengine hawaulizi kuondoa ujinga ila wanakuwa na lengo la kutaka kujionyesha kwamba nao ni wadadisi wa mambo wakati ni wauza sura. Haya, kaambiwa ni samsung galaxy s10 ana hata hela ya kuinunua???
Eti inauzwa Tsh 2,300,000. Yaani milion mbili na laki tatu!Kuna wengine hawaulizi kuondoa ujinga ila wanakuwa na lengo la kutaka kujionyesha kwamba nao ni wadadisi wa mambo wakati ni wauza sura. Haya, kaambiwa ni samsung galaxy s10 ana hata hela ya kuinunua???
Safi sana naona mzee haja Fuata mkumbo wa Tunda,View attachment 1770849
Wakuu nataka kujua hawa wakubwa wanakwendaje na teknolojia ya simu janja
Mh Jakaya Kikwete anatumia simu gani hapo na specifications zake ni zipi?
Wewe popoma heshima ni kitu cha bure kuwa na adabu. Usifikiri kila mtu humu anakula ugali wa shikamoo kama weweKwanini unakua na mawazo hasi kiasi hiki mkuu
Relax dogo maisha hayataki hasira
Usiwe mwepesi kuhukumu wenzako kwasababu una mastress yako ya kuishi sebule kwa dada
Ukiacha huu utoto utapata ajira hata kama ni kujiajiri sio lazima ufundishe