Hii ni siku ambayo nilidhalilishwa sana kwenye Kadamnasi. Sikuwahi isahau

Hicho kilinge kipo wapi Tukalipize kisasi....Sie wengine Tushakoswa risasi unasema Ndoo tuu.
 
Huu mchezo kwanza unachezwa kwa maneno. Sababu ni wa kutumia akili, maneno hutumika kumfedhehesha opponent.
 
Wewe kilichokufunga sio kwamba hujui bali yale maneno ya shombo,na kwakua alikua tayari kashakutoa kwenye mchezo kweli angekupiga super
 
nimecheka sanaaaaa hii aiseeeh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka sana ,Ila wadau jifunzeni kupuuzia maneno ambayo hayakupunguzii uhai,izo ni technique tu za mpinzani wako kukuogopesha ushindwe ,relax and keep play...😂😂😂
 
😂😂Kwa kwel hapa lazima tuzichape...
 
Sio draft tu, kwenye sports nyingi unaweza kucheza na psychology ya mtu ukamtoa mchezoni.

Hata kwenye boxing maneno huwa yapo sana ya kukera na yanamfanya mtu ana panic anaishia kupigwa.

Unakumbuka Zidane na Materazzi kwenye fainali ya World Cup 2006? Ndio mifano kama hiyo. Maneno ya chinichini yakamtoa Zidane mchezoni akamlamba mwenzake kwicha, kapewa red Ufaransa wamebaki pungufu mwisho wa siku wakapoteza fainali.
 
Mkuu hakuna michezo yenye ku hitaji uvumilivu kama huo, na kupotezea watu, hasa kiringe kikiwa na Wazee wa swahili waweza jitafutia murder case.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pale nje ya Shule ya Sekondari Kambangwa karibu na mahakama ya Kinondoni, kuna kijiwe cha kahawa cha Msisiri. 2002 nilijichanganya kukalia benchi nitest viwango vyangu nikaona na wa upande wa pili naye kainuka, hataki kucheza na mimi. Wenzake (kisanii, maana najua wanaujua mchezo wao) wakamuuliza, vipi bingwa mbona unainuka, akawajibu maishani mwake hajawahi kucheza disco toto, yaani mimi sio size yake.

Basi wakamuita mtoto mdogo mpita njia eti ndio akae acheze na mimi. Njoo cheza na mwenzako , dah. Ile kamecheza tu kete ya kwanza, nikasikia wooote kwa pamoja wanasema "heko", nikicheza mimi utasikia "mmmh, bora ulivyosimama...ulikuwa na kesi ya mauaji. Yule dogo alinifunga asee, maana si kwa mbeleko zile
 
HAHAHAHAHAHHAHAH HAHAHAHAHAHHA HAHAHAHAHAHHA

DAAAAH, nimecheka sana aisee..
Maana nasoma story hunu navuta picha jinsi tukio lilivyokuwa...
 
Kwa
Kwa kifupi huna roho wala akili ya kuhimili changamoto za kimichezo au za watu wengine. Kule JKT wanatukania hadi mama yako.

Halafu inaonekana una kichwa kikubwa.
 
Sana....wadada wengi husema hivyo....kuwa nina kichwa kikubwa wana enjoy..


Kwa

Kwa kifupi huna roho wala akili ya kuhimili changamoto za kimichezo au za watu wengine. Kule JKT wanatukania hadi mama yako.

Halafu inaonekana una kichwa kikubwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…