Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,700
- 167,686
Nature ya mwanaume yyte ni utawala , unless sio mwanaume kamiliKweli kudate na mwanamke anayekuzidi kipato Ni nongwa Sana.
Mwanzoni atakutreat Vizuri Sana ila mkishafunga ndoa Hakuna rangi utakosa kuiona kwake.
Itafika siku akwambie utoke nje abadilishe nguo 😥
Utamuwezanipigie pande huyo mwana Mama
Mzee baba ulipata wapi ujasiri wa kusikiliza misamiati na huyo tajiri single mom tena mkiwa kwa nyumba yake pasipo ikulu kukasirika?Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume
Hapo ndio shida inapoanzia, unataka umlunje, yeye anawaza batch ya mzigo wa parachichi alizozituma ChinaTatizo wanataka wawe kichwa cha familia kisa wanapesa ,mwanaume akishakuoa hata kama hana pesa ni masikini lazima awe kichwa cha familia , vinginevyo hawezi vumilia ujinga wa kuongozwa na mwanamke...never
Ndio mkuuNature ya mwanaume yyte ni utawala , unless sio mwanaume kamili
naanzaje kushindwa 😂Utamuweza
utawala unahitaji nyenzo na pesa ni nyenzo kuu mkeo akiwa nayo zaidi hata iweje kuna mahali utawekwa chini ya himaya na utasalimu amriNature ya mwanaume yyte ni utawala , unless sio mwanaume kamili
Kwahiyo baada ya maongezi mzee mwenzangu ukala tunda kimasihara au nawe uliogopa kama wazembe wengine??Achana na hawa wadada ana ka IST na duka la nguo Kinondoni anajiona tajiri. Tajiri anaishi nyumba ya kupanga chumba na sebule na jiko, anajiona kayapatiiiiiiia.
Ninaongelea wale wenye mega projects, mega investments. Kwa kweli wanaishi maisha ya upweke sana.
Jana nilialikwa na rafiki yangu kwa ajili ya mlo wa usiku. Yeye ni mfanyabiashara mkubwa, ana viwanda vyake vya vipodozi na anauza sehemu mbalimbali duniani.
Alinunua nyumba Oysterbay iliyokuwa ya mheshimiwa mmoja mstaafu (zile nyumba waliuziwa kwa bei chee na Mkapa) akaivunja yote na akajenga nyumba za ndoto yake.
Anacholalamika ni kwamba wanaume wanamuogopa kwa ajili ya pesa zake. Hata akomtongoza mwanaume baada ya muda kidogo mwanaume atapotea.
Akaenda mbali zaidi, akasema wanawake wengi matajiri wamejikuta wakiingia kwenye mapenzi ya jinsia moja lesbianism kwa kukosa watu wa kuwa nao.
Tuliongea mengi sana kwa kweli. Wito wangu kwenu vijana, msiogope ma Range Rover yao, watongozeni tu, nao pia ni watu na wanahitaji wenzi wa kuwa nao maishani.
Kambi ya Fisi, shemeji yako tupo naye hapa JF, mambo mengine hatufunguki, yanaishia hukohukoMzee baba ulipata wapi ujasiri wa kusikiliza misamiati na huyo tajiri single mom tena mkiwa kwa nyumba yake pasipo ikulu kukasirika?
Sidhani kama 'kazi na dawa' zimesahaulika kwako, kwa vyovyote ikiwa ukishindwa kukumbuka 'kazi na dawa' I think umeokoka bro.