Hii ni sawa...?

Sio saw kabisa, kama kuna mawasiliano ya siri kuna lao jambo, just chunguza, kama vipi mtoto achukue na kumpiga maufuku mawasliano, ili kusiwe na kisingizio.

Mama naye ana haki ya kumjulia hali mwanae! Wawasiliane tu ila wawe open.
 
Yaani yule aliyekuwa anaimba Bushoke MUME BWE**GE ndo hii . . . .
 
Mkeo umemuoa akiwa tayari ana mtoto,na ukakubali kumuhudumia mtoto kwa mahitaji yake yote,lakini inakuja kwamba bado anawasiliana mara kwa mara na mwanaume aliyezaa nae kwa namba nyingine tofauti,na ikitokea umesika anaongea anakwambia naongea na rafiki yangu,ukummbana sana anakwambia nilikuwa naongea na baba wa mtoto kuhusu mambo yahusuyo mtoto,je utafanyaje?Wana JF hebu nipeni maoni yenu

Mzalishe back to back alafu uone kama atakuwa na huo muda wa simu na ex wake. Nafikiri mlitakiwa muongee mhusiano na mawasiliano kati yake na baba mtoto wake kabla hamjaoana ili kuwe na mipaka.
We mzalish back to back utakuja kuniambia kwani atakuwa so busy na watoto na hatapata muda wa kuleza uzuri
 
Mkeo umemuoa akiwa tayari ana mtoto,na ukakubali kumuhudumia mtoto kwa mahitaji yake yote,lakini inakuja kwamba bado anawasiliana mara kwa mara na mwanaume aliyezaa nae kwa namba nyingine tofauti,na ikitokea umesika anaongea anakwambia naongea na rafiki yangu,ukummbana sana anakwambia nilikuwa naongea na baba wa mtoto kuhusu mambo yahusuyo mtoto,je utafanyaje?Wana JF hebu nipeni maoni yenu

kuongea na sio tatizo. Swala la msingi la kujiuliza ni kwanini anaficha.
STUKA!
 
Kama yangekuwa ni mawasiliano ya wazi ambayo hata wewe unayaelewa labda tungezungumza mengine, lakini kama anafanya kwa siri kiasi cha kubadilisha chip basi hili nadhani ni tatizo kubwa zaidi hata ya lile la kuwasiliana na huyo mzazi mwenzake wa awali.

Work it on this first ila cha msingi kaa nae ongea nae juu ya wasiwasi wako na mtafute namna ya kuweka leverage na mipaka katika mawasiliano yao
 
Kuwasiliana sio tatizo ila huyo mdada mbona hamuheshimu mume wake? hata kama anaongea na mzazi mwenzie si asubiri akiwa falagha ndio watete? yaani katika hali ya ubinadamu lazima wivu utakuwepo, hivi ajiulize huyo mkaka angekuwa amezaa na mdada halafu wanawasiliana angejisikiaje, sio sawa hata kidogo heshima imempitia pembeni, si wapeane time ambayo mdada atakuwa alone!
 
Well said,
 
Fanya 'legal adoption' ya huyo mtoto wa mkeo, utakuwa baba kisheria wa huyo mtoto..na yule baba mwingine hatakuwa na haki ya kuwasumbua kwa kigezo cha kufuatilia mambo ya mtoto!
 
Back
Top Bottom