Hii ni sawa kweli?

hao inaonesha ni risk taker..
 
Hao ni matatizo ndo yamewafanya wafanye hivyo nadhani..Ila ingekuwa kwa amri yangu..Hao nawakamata wote watatu..Nawatia bakora za kutosha zen ndo nawasaidia
 
Ulaya sio sawa kabisa na jela utakwenda. Afrika ni sawa na maisha yanaendelea
Kuna vitu binadamu wanafanya ila wanajua kabisa ni makosa
 
Reactions: ydn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…