Hii ni sawa kweli?

Dah kweli tunakula uchafu wa kila aina
hapo ndo atajambia mikate yoote kwa nafasi
ikitoka hapo tunailipia kwa hela
 
Dah kweli tunakula uchafu wa kila aina
hapo ndo atajambia mikate yoote kwa nafasi
ikitoka hapo tunailipia kwa hela


Mkuu The Boss.

Niliwahi kwenda kwenye bakery ya Msomali, Ilala. Siku hizo, Azam bread ilikuwa bado. Wafanyakazi wake Sita walikuwa wanakanda unga kwa kukanyaga kwa miguu. Jasho linamiminika katika unga.

Lakini, kila mkate uliuzwa, foleni nje.

Nunua hii home breadmaker. Utakula fresh bread kila siku. Natumia nyumbani. $200.



Panasonic SD-ZB2502BXC Breadmaker
 
Dah kweli tunakula uchafu wa kila aina
hapo ndo atajambia mikate yoote kwa nafasi
ikitoka hapo tunailipia kwa hela
Uchafu, tunakula sana kwa mtindo huo.

Jamaa amerelax kabisa
 
Sijui TZ kama itauzwa dolar 200
ikija TZ utaambiwa milioni moja
 
Vichafu ndiyo vitamu... kisicho kuua kitakukomoza tu...
 
Bakery/viwanda vingi ni vichafu nakumbuka mwaka jana TFDA walifunga kiwanda kimoja cha mikate kwa ajili ya uchafu uliokithiri kuanzia mazingira mpaka wafanyakazi
 
Dah hii kweli ni zaidi ya hatari.......ndio maana mitamu🙂
 
hatari sana. pia asilimia kubwa ya majiko ya migahawa na hotel nyingi ni chafu sana
 
Vyakula vingi ukiona jinsi vinavyotengenezwa utaweza usile aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…