Ndugu dawa ya maumivu Aspilini, amekuletea wewe umpe ushauri apoze moyo wake, si kweli km kamvua nguo mmewe, ila ameona Asplin na Asplo zinaweza tuliza yale yanayo umiza moyo wake, sote ni dawa ya machungu yanao mkabili tumpe pole na ushauri apate amani.
Waego ulakotze.
courtesy
umeoa?
Bado hajakukwida usiku kucha
acha nile maisha mie
naamka zangu huyooo bafuni ....
mimi mambo ya kulala jicho moja wazi kama sungura sitoweza ndugu yanguMdogoangu Smile wewe!Ngoja nikuozeshe kwa nguvu Te te te te,Mzima lakini?
duhBado hajakukwida usiku kucha
acha nile maisha mie
naamka zangu huyooo bafuni ....
hapa unaogopa wanaweza wakatoroka usiku au wezi wasiingieKazi zote my wife naweza nisisaidie, lakini kufunga milango never, hata kama ameifunga lazima niipitie upya kuhakikisha.
Na bado unalala hoi unashindwa kufanya kung fu moves kitandani daily. Unaletewa small house manake unaambiwa humridhishi. Kuwa mwanamke ni ajira tosha. Najichubua hapa nitafute lace wig niwinde muarabu mwenye kisima cha mafuta nianze kukaa home kutwa kama natalia mie!
Angekuwa mama wa nyumbani, angepigiwa honi ya nini?
Bahati mbaya sana Lisa kamvua mmewe nguo hadharani hapa akijiaminisha wanaume wote tuko hivyo.
Si mambo yote ya kuleta humu jamani, mnadhalilishana tu. Mambo kama haya ni ya kukalishana kitako na kuwekana sawa. Ni vijimambo tu hivi!
Ni mimi ODM nawashaurini wakati nikirejea mapangoni Torabora.
hiyo na kupigiwa honi well just time urself jamani mbona unataka fanya ishu kubwa kumbe kitu kidogo tuu. ng'ombe mzima umeshamla sasa kuwahi dakika 2 tuu unataka ilete ugomvi
hABARI ZA ASUBUHI
mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu.
Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi.
Naandaa nguo za mume wangu pamoja na za watoto , dada anabrash viatu vyawatoto.
naamka saa 11.30 nakuandalia breakfast, naenda kuoga wewe umelala, by the time unaamka unakuta kila kitu kiko tayari, naweka hali ya chumba chetu safi,unaamka unaoga na kwenda kunywa chai wewe na wanao, halafu unakwenda kwenye gari unanipigia honi na kuniuliza ulikuwa wapi saa zote? IVI HII NI HAKI! HAMJALI YOOOOTE TUNATOWAFANYIA, AU HIYO NDIYO ASANTE YENU? 😡😡😡