hahahhaha umenifurahisha kwakweli,,, mimi my man ndo alivyo na miaka yote niliyokaa nae tokea tujuane hajaacha kunitamkia i love you kila akipiga,,, wasiwasi wa nini mama,, unless kama unahisi lake jambo na ni tabia aliyoianza juzi juzi!!! otherwise hebu chill kisha ufurahie bidada.... ok... nawasilisha mamii