HII Ni SAHIHI KWELI?

Waafrika tunashangaza sana,
ukiambiwa I love u, una uliza maswali, hukawii siku moja kusema mbona
hanipigi, maana kuna watu eti akipigwa ndiyo anaona anapendwa na mtu.
Hilo neno zuri sana la kukufanya ujue uko peke yako! wengine huita
sweety! Hny! My love, etc, etc, be cool and enjoy maisha.

kweli ndg ht mm anipigiae cm mara kwa mara ndo naic an upendo.na nikweli mwenye upendo hua anajali kujua hali ya ampendae kwa kl dk.
 
dah...watu tupo tofauti eeh.....
mimi nisipoambiwa hivyo naugua.....mahututi kabisaaaa.....
 
Aiiii angekua wangu ningejiona kama malkia.... wewe unasikitika? kweli binaadam tuko tofauti
 
Back
Top Bottom