hii ni picha au filamu?


Kwa kweli Tunakoelekea sasa kuna watu watashindwa kutambulika jinsia nzao hadi maungo yatakapokuwa wazi!
 
Star bongo anapaka make-up kwenye gari!tena anajipaka mwenyewe,ndo ujue kufikia level za hollywood bado saana,yaani baadae sana!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Mke mwenza niimekimbia mbiooooooo! Our late hubby alikuwa natural kila idara! Unakumbuka nywele zake??????? The body je???? (rip my da.........) am missing u!

we bwana acha bana !mimi miss him mingi jamani!lol
 
Huyo dada ni host wa kipindi cha celebrity wetu cha TBC na hapo daidomo alikuwa anajipodoa kwaajil ya hicho kipindi


Dadaangu kwani wanaojipodowa si akina dada au ndio haki sawa?
 
Huyo dada ni host wa kipindi cha celebrity wetu cha TBC na hapo daidomo alikuwa anajipodoa kwaajil ya hicho kipindi


Dadaangu kwani wanaojipodowa si akina dada au ndio haki sawa?
 
Kuna dada mmoja aliambiwa bwana aliyenaye ni bwabwa yaani shoga lakini cha kushangaza alijibu kama ni shoga yeye inamuhusu nini wamwache agongwe tu yeye amempenda.

Ukishangaa ya Musa utaona ya firauni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…