The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,428
Juzi, nilipita sehemu. Nilikuta watu wazima tena wanaojiita wenye akili na busara wakishindana kumpaka kiti moto lipstick nikashangaa.
SIkkujua akili, busara na maana yake ni nini. Nilijiuliza. Kwanini wasimtafunilie mbali badala ya kupoteza muda na kuonyesha uzwazwa. Nilijiuliza. Je, hii ni nini?
Waweza kumuogesha na kumpaka nguruwe lipstick na utuli akawa msafi na kupendeza? Janani, kitimoto ni kitimoto. Hata mmrembeshe na kumsifu vipi, hatageuka paka wala pet. Je, hapa, unajifunza nini?
Hilo ndilo wazo langu kwa leo.