...mkuu nawasihi ma great thinkers kutafakari maana na impact ya msemo huu. Kaharakaharaka unamaanisha,hekima busara na muongoza wa mashauri ya wazee haupo tena mjini. Impact yake ni kwamba wazee waliopo hawatapewa nafasi na jamii tena,pili wazee wenyewe hawatasimama kwenye nafasi zao,na hata wakifanya hivyo hawatajutia kufanya mambo ya kipumbavu. Longterm impact ni kizazi kilichokosa maadili maana nafasi ya wazee katika jamii imetetereka/haipo kabisa...