Hii ni 'Nature' au?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni 'Nature' au?!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KATIZAJI, Jun 6, 2011.

 1. KATIZAJI

  KATIZAJI Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 58
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wana JF, Kwa nini mwanaume akiwa na wanawake wawili au watatu anaishi nao kinyumba si tatizo, lakini mwanamke akiishi na wanaume wawili kinyumba ni tatizo kubwa?
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Katizaji karibu..Tatizo lipo ila kwa mfumo tuliojiwekea tunalihalalisha na kua sio tatizo...mara nyingi tunashuhudia wanaume tukijitukuza kwa ufahari wa kutoa wake za watu out wakati tukiwaona wale wanaotoka na wake zao wamekaliwa ama kulishwa limbwata...kwa maisha ya sasa,magonjwa na maradhi tuliyonayo alafu kusimama pahala na kujipiga piga kifua kua unaona ufahari kuishi kinyumba na wanawake wengi si akili za kawaida...nionavyo hata huyo mmoja kuliko awe tiketi yako kuelekea ahera mapema au wewe kuwa sababisho ni heri kutokua nae kabisa!
   
 3. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wanaume wengi wana tamaa tu ya sex si love,but wanawake wanalove zaidi kuliko sex.hivyo mwanamke akifanya hivyo madhara yake ni makubwa
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Yes this is nature,,,

  You can see simple examples from animals... no two dumes can live in one kingdom!

  Angalia hata majogoo, mbwa and the like...

  Men are so self centred... if they live in such way, expect blood shed....

  Nimepita tu!!
   
 5. S

  Sharo hiphop JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 662
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Yah! This is nature, kwanza jiulize ni kwa nini mungu anasadikika kuwa mwanaume? Kwa nini mungu alimuumba adamu kisha akasema yeye ndo mtawala wa eva? Kwa nini mungu alimtuma Yesu/mtume Mohamad na hawa wote ni wanaume? Mfumo dume ulipsha kuwepo so tukubaliane mao tu.
   
 6. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #6
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mwanamme ni ready machine haihitaji kujiuliza ndo maana sometime unapiga bao kwa sabuni tu, au papai unalitoboa matakoni unalipa kitu, kama wanatusemasema cc tuna mibadala mingi mbona watakoma kuringa waambieni waache kujiremba basi.
   
 7. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #7
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni akili za ki-dark fringe zaid......most of men hawaridhiki hata ukimbeba mgongoni kwa mbeleko...mmezd....
   
Loading...