Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Bado hujatoa ushahidi wa maandiko kuwa waislamu wanatakiwa waliabudie hilo jiwe.
hivi mtu mwenye maarifa atatoa ushahidi gani kwa kitu ambacho hakipo?
Kwani wewe una ushahidi wowote wa Quran kwa unayoyasema au unaendelea na zile hadithi zako zilizo andikwa zaidi ya miaka 600 baada ya Muhamad?
 
Alichokifanya Mwijaku kule Makka wakati wa kumponda mawe shetwani ni sahihi na kinakubalika? Naomba nieleweshwe hapo tu kwanza. Sina nia mbaya ndugu zangu Waislamu 🙏🏿
Duh kumponda mawe shetani? Shetani naye hupigwa mawe?
 
hivi mtu mwenye maarifa atatoa ushahidi gani kwa kitu ambacho hakipo?
Kwani wewe una ushahidi wowote wa Quran kwa unayoyasema au unaendelea na zile hadithi zako zilizo andikwa zaidi ya miaka 600 baada ya Muhamad?
Ndiyo mimi nina ushahidi wa Qur’an na Sunnah kwa kila ninachokisema.
 
Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Muislamu mwenye kutafakari hakika hatapinga hilo, atakubaliana na mimi. Waislamu mwanzoni mwao walipinga ibada ya sanamu (walikuwa sahihi kabisa) ila baada ya mtume Muhamad kulibusu hilo jiwe baada ya kuiteka Maka ikawa suna kwa Waislamu wote hadi leo hivi. Muhamad aliweza kuondoa ibada yote ya sanamu huko Maka lakini kwenye Hajar aswaad hakuweza.

Waislamu wote duniani wanasali wakielekea kwenye hilo jiwe, wakiinama na kuinuka kwa mwelekeo huo (kibra). Na hao wanaofika Maka kuhiji wanasali kwa kulizunguka hilo jiwe na kulibusu huku wakiomba dua. Kama ameshindwa kulibusu analipungia mkono na kuomba dua. Akili yote ya muislamu anapoenda kuhiji ni kuligusa au kulibusu hilo jiwe na hapo ndipo hija yake inakamilika. Na Waislamu wote hamu yao kuu ni kufika Maka naam na mbele ya Alkaaba na Hajar aswad ili wayaache madhambi yao huko mbele ya jiwe. Lakini dhambi bado inawanyanyasa, maana dhambi haiondoki kwa matendo ya hijja. Nawasikitikia kukaa mbali na Yesu msamehe wa dhambi.

Hijja

Ibada ya Hijja zamani hizo kabla ya Uislamu ilifanywa na Waarabu, walifanya sawa sawa na Waislamu wa leo kasoro kufanya tawaf uchi wa mnyama ili wasijitie unajisi. Wa leo wanahiji bila kuvaa chupi ili wasijitie unajisi. Mungu alimwonya Musa na wana wa Israeli wasisogelee nyumba yake bila kuvaa nguo ya ndani. Kut 20:26; 28:42,43. Lakini kwa Allah ni kinyume chake, hataki waja wake wavae nguo za ndani. Hili ni dhihirisho kwamba YHWH na Allah ni waungu wawili tofauti.

Na kwa hakika hakuna nabii au mtume au wazee wa imani waliofanya ibada sampuli hii inayofanyika leo na Waislamu huko Makka. YHWH kupitia nabii Musa aliwaonya Waisraeli wasijaribu kuweka sanamu au jiwe na kuliinamia ama kulifanya kama majaliwa ya ibada, ni chukizo kwake. Imeandikwa;

‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

Waislamu wanadai Muhammad ni nabii mfano wa Musa, huu ni uzushi mkubwa. Ni hakika Muhamad ni mpinga Musa na manabii wote. Na zaidi ni mpinga Kristo.

Mungu awasaidie Waislamu waone siri ya Kristo ili watoke katika utumwa wa ibada ya sanamu.

Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. 1 Kor 10:14 SUV

View attachment 3289665
Inasikitisha mno kuona mtu mzima na akili zake timamu eti anaacha kuvaa chupi ila shuka tu anabusu jiwe kwa hisia akiamini ndipo dhambi zake zinaondolewa na jiwe, jamani MAGUFULI (jiwe) anawafutia watu dhambi kweli?
 
Una ushahidi gani kuwa Qur’an ni satanic verses
Sikushuhudia kipindi shetani anampa Muddy hiki kitabu ila nimesoma mambo ya dini na kukuta Uislam pekee ndiyo inayomuabudu shetani pamoja na malaika wake (majini). Na ndiyo maana kwenye Qur'an kuna haya za kuwapa watu ukichaa, laana, magonjwa yasiyo tibika, pamoja na mateso ya hajabu na kuua pia. Na kwa sababu ya hiyo tu, ndiyo unaona masheikh wengi ni wachawi wanaoroga kwa kupitia Qur'an.
 
Hizo aya za kishetani ni zipi
 
Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Muislamu mwenye kutafakari hakika hatapinga hilo, atakubaliana na mimi. Waislamu mwanzoni mwao walipinga ibada ya sanamu (walikuwa sahihi kabisa) ila baada ya mtume Muhamad kulibusu hilo jiwe baada ya kuiteka Maka ikawa suna kwa Waislamu wote hadi leo hivi. Muhamad aliweza kuondoa ibada yote ya sanamu huko Maka lakini kwenye Hajar aswaad hakuweza.

Waislamu wote duniani wanasali wakielekea kwenye hilo jiwe, wakiinama na kuinuka kwa mwelekeo huo (kibra). Na hao wanaofika Maka kuhiji wanasali kwa kulizunguka hilo jiwe na kulibusu huku wakiomba dua. Kama ameshindwa kulibusu analipungia mkono na kuomba dua. Akili yote ya muislamu anapoenda kuhiji ni kuligusa au kulibusu hilo jiwe na hapo ndipo hija yake inakamilika. Na Waislamu wote hamu yao kuu ni kufika Maka naam na mbele ya Alkaaba na Hajar aswad ili wayaache madhambi yao huko mbele ya jiwe. Lakini dhambi bado inawanyanyasa, maana dhambi haiondoki kwa matendo ya hijja. Nawasikitikia kukaa mbali na Yesu msamehe wa dhambi.

Hijja

Ibada ya Hijja zamani hizo kabla ya Uislamu ilifanywa na Waarabu, walifanya sawa sawa na Waislamu wa leo kasoro kufanya tawaf uchi wa mnyama ili wasijitie unajisi. Wa leo wanahiji bila kuvaa chupi ili wasijitie unajisi. Mungu alimwonya Musa na wana wa Israeli wasisogelee nyumba yake bila kuvaa nguo ya ndani. Kut 20:26; 28:42,43. Lakini kwa Allah ni kinyume chake, hataki waja wake wavae nguo za ndani. Hili ni dhihirisho kwamba YHWH na Allah ni waungu wawili tofauti.

Na kwa hakika hakuna nabii au mtume au wazee wa imani waliofanya ibada sampuli hii inayofanyika leo na Waislamu huko Makka. YHWH kupitia nabii Musa aliwaonya Waisraeli wasijaribu kuweka sanamu au jiwe na kuliinamia ama kulifanya kama majaliwa ya ibada, ni chukizo kwake. Imeandikwa;

‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

Waislamu wanadai Muhammad ni nabii mfano wa Musa, huu ni uzushi mkubwa. Ni hakika Muhamad ni mpinga Musa na manabii wote. Na zaidi ni mpinga Kristo.

Mungu awasaidie Waislamu waone siri ya Kristo ili watoke katika utumwa wa ibada ya sanamu.

Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. 1 Kor 10:14 SUV

View attachment 3289665
Siku hilo jiwe likiibiwa sijui wataabudu nini..
 
Umemaliza kuwaongelea waislamu vibaya? Inataka muda kuwafahisheni kuhusu jiwe ila nyinyi makafiri MUNGU aliondoa akili zenu akaweka kwenye makalio yenu ndio maana makafiri wanapenda zinaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom