Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Tuanze hapa
Maana ya ibada ni nini?

Masharti gani yanatakiwa kwa kusihi ibada?

NB
Umeandika porojo usizozijua, hakuna muislamu anaamini kwamba hilo jiwe linaleta madhara au kunufaisha bali tunaamini juu ya utukufu wake.
Muhammad alisema linafuta dhambi, na litakuwa na macho na mdomo na litaongea siku ya hukumu wewe unabisha?
 
Uislamu umenyooka, haiwezekani mtu kuabudia kitu ambacho hakidhuru wala kunufaisha bali hiyo ni Sunnah ya mtume (saw)

Angalia maneno ya Khalifa wa pili wa uislamu (swahaba wa mtume) anasemaje kuhusu mada yako
Umar alivyo sema na Muhammad alivyosema apa nani unamuamini?

  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Umeambiwa linafuta dhambi, kwa nini udanganye?

Hii ni hadith kutoka kwenye Sahihi Bukhari kitabu ambacho kinategemewa baada ya Quran
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
 
Ndugu Al-mukheef MBWARI Mwislam by choice and other Muslims , msipoteze muda wenu kubishana na Extremists Galatians like Hamis , mokiti and others hao hawautakii kheri Uislamu na Lengo lao ni kuleta mabishano na malumbano yasiyo na msingi.

Jf Kuna watu wengi Wenye akili fupi , mtu mwenye busara ni vyema kuwaepuka na mabishano hayo hayana mwisho na mlengo mzuri , na ukiwapuuza watu kama hao and their fellows Scumbags supporter ni jibu tosha na njia moja wapo ya kuwadhohofisha.

kwani Lengo lao mbishane muonekana vijana wa Kiislamu hamna adabu na wakorofi tena wengine wakituna matusi makubwa na kebehi hayo yote si kitu hii Dini haijaanza kushambuliwa bali toka enzi lakini bado Inashamiri , mukiwapuuza na kusubiri watajiona useless watasema Kisha watachoka kama wengi waliokuwepo Jf Zamani kwa kazi hii sasa wako wapi ? wamechoka na kupotea kabisa.View attachment 3290002
Mkuu ALLAH akuzidishie kheri umezungumza jambo Zuri sana
Hawa makafiri extremists hawapo kwa ajili ya kujifunza Hata ukweli udhihirike mbele ya macho yao hawataamini watakuja na kisingizio kingine(makafiri wote hufanana tabia hata zama za kale makafiri walikua watu wa hila kama hawa wa zama hizi) na adhabu kali ya moto ni mafikio yao
ALLAH atuepushe kuwa miongoni mwao aamiin.
 
Hii ni hadith kutoka kwenye Sahihi Bukhari kitabu ambacho kinategemewa baada ya Quran
Sahih al-Bukhari 4376, 4377

Imesimuliwa Abu Raja Al-Utaridi:
Tulikuwa tunaabudu mawe, na tulipopata jiwe bora kuliko ile ya kwanza.
tungetupa la kwanza na kuchukua la pili, lakini ikiwa hatungeweza kupata jiwe basi tungekusanya ardhi (i.e. udongo) na kisha tuleta kondoo na maziwa ambayo tungeweka juu yake, na kuifanya Tawaf kuizunguka
 
Mkuu ALLAH akuzidishie kheri umezungumza jambo Zuri sana
Hawa makafiri extremists hawapo kwa ajili ya kujifunza Hata ukweli udhihirike mbele ya macho yao hawataamini watakuja na kisingizio kingine(makafiri wote hufanana tabia hata zama za kale makafiri walikua watu wa hila kama hawa wa zama hizi) na adhabu kali ya moto ni mafikio yao
ALLAH atuepesho kuwa miongoni mwao aamiin.
Acha kumpa moyo maandiko ni yenu waislamu

Soma niambie aya maandiko ya kina nani?

Sahih al-Bukhari 4376, 4377

Imesimuliwa Abu Raja Al-Utaridi:
Tulikuwa tunaabudu mawe, na tulipopata jiwe bora kuliko ile ya kwanza.
tungetupa la kwanza na kuchukua la pili, lakini ikiwa hatungeweza kupata jiwe basi tungekusanya ardhi (i.e. udongo) na kisha tuleta kondoo na maziwa ambayo tungeweka juu yake, na kuifanya Tawaf kuizunguka
 
Jiwe jeusi ni mkono wa kuume wa Allah duniani; yeyote anayeugusa au kumbusu, ni kama anapeana mikono na Mwenyezi Mungu na kumbusu mkono wake wa kulia."
Hii ni chai ya asubuhi na chapati 2. Leta ushahidi
 
Jiwe ni mkono wa Allah na kulibusu umebusu mkono wa Allah unafikiri ni jambo dogo ? Wewe unauwezo Gani wa kutukuabudu mkono wa allah
Bado hujatoa ushahidi wa maandiko kuwa waislamu wanatakiwa waliabudie hilo jiwe.
 
Thibitisha
Wewe ndo unabidi uthibitishe usahihi wa hadithi hiyo kwa kuonyesha ipo kwenye kitabu gani kati ya vile vinavyokubalika,namba ya hadithi,wapokezi wake na wasimulizi wake.
 
Jana na Leo tumefanya sana mauzo ya kitimoto walahi
 
 
Ile ni kibra tu na hapo ndipo katikati ya arshi ya mwenyezi mungu lau ingewezekana macho yetu yakawa kisogoni tungesujudu kuelekea juu. Hizo ni miongonni mwa nguzo na historia adhimu katika uislam .ikiwa ni ibada za kisanamu amini ingekuwa iko baina kwa hakika Muhammad alitii maagizo ya mola wake nayo ilikuwepo tangu Ibrahim na mwanae ndio waliojenga. Hakuna chochote katika uislaam kinacho fanyika kiimani alicho jipangia Muhammad. Labda hitrafiani za kisunna tu sisi kwa sisi mkuu.
Kwa hivyo kulibusu jiwe na kuliinambia siyo ibada ya sanamu?
 
Asilimia kubwa wa wanapenda kujihi hawajua Ibada ya hija yaani hawajaisoma kikamilifu bali wanaenda kibubusa tu , sasa matokeo yake wengi wanafanya mambo ya makosa.

Mimi binafsi mwaka nitakaoenda kujihi Makkah In Shaa Allaah nitakaa darasani kwanza kuisoma ibada yenyewe kwa ukamilifu kwa mujibu wa mafundisho sahihi ya Uislamu maana tofauti kubwa ya Uislamu na dini nyinginezo kila ibada inahitajia Elimu na Ina miongozo , masharti na nguzo kutoka na reference lazima tuifanye kama ilivyofanywa , kuelekezwa na kufundishwa na Mtume Muhammad (ﷺ) kupitia Qur'an na Sunnah kwa ufahamu sahihi.

Katika Uislamu yeyote anayejitungia Ibada ambayo haina asili Wala haipo kwenye Uislamu au Ibada ni sahihi ipo lakini mtu akafanya kwa namna ya makosa , akazidisha na kuongeza vitu pamoja na kufanya kwa namna anavyojisikia basi hiyo ibada ni batili .

Kwa Elimu yangu ndogo ibada ya Hajji na Umrah haisiani na kile alichofanya mwijaku kulifuta futa shuka na Allaah ndiye mjuzi zaidi.
Why umeandika Kujihi badala ya Kuhiji
 
Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Muislamu mwenye kutafakari hakika hatapinga hilo, atakubaliana na mimi. Waislamu mwanzoni mwao walipinga ibada ya sanamu (walikuwa sahihi kabisa) ila baada ya mtume Muhamad kulibusu hilo jiwe baada ya kuiteka Maka ikawa suna kwa Waislamu wote hadi leo hivi. Muhamad aliweza kuondoa ibada yote ya sanamu huko Maka lakini kwenye Hajar aswaad hakuweza.

Waislamu wote duniani wanasali wakielekea kwenye hilo jiwe, wakiinama na kuinuka kwa mwelekeo huo (kibra). Na hao wanaofika Maka kuhiji wanasali kwa kulizunguka hilo jiwe na kulibusu huku wakiomba dua. Kama ameshindwa kulibusu analipungia mkono na kuomba dua. Akili yote ya muislamu anapoenda kuhiji ni kuligusa au kulibusu hilo jiwe na hapo ndipo hija yake inakamilika. Na Waislamu wote hamu yao kuu ni kufika Maka naam na mbele ya Alkaaba na Hajar aswad ili wayaache madhambi yao huko mbele ya jiwe. Lakini dhambi bado inawanyanyasa, maana dhambi haiondoki kwa matendo ya hijja. Nawasikitikia kukaa mbali na Yesu msamehe wa dhambi.

Hijja

Ibada ya Hijja zamani hizo kabla ya Uislamu ilifanywa na Waarabu, walifanya sawa sawa na Waislamu wa leo kasoro kufanya tawaf uchi wa mnyama ili wasijitie unajisi. Wa leo wanahiji bila kuvaa chupi ili wasijitie unajisi. Mungu alimwonya Musa na wana wa Israeli wasisogelee nyumba yake bila kuvaa nguo ya ndani. Kut 20:26; 28:42,43. Lakini kwa Allah ni kinyume chake, hataki waja wake wavae nguo za ndani. Hili ni dhihirisho kwamba YHWH na Allah ni waungu wawili tofauti.

Na kwa hakika hakuna nabii au mtume au wazee wa imani waliofanya ibada sampuli hii inayofanyika leo na Waislamu huko Makka. YHWH kupitia nabii Musa aliwaonya Waisraeli wasijaribu kuweka sanamu au jiwe na kuliinamia ama kulifanya kama majaliwa ya ibada, ni chukizo kwake. Imeandikwa;

‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

Waislamu wanadai Muhammad ni nabii mfano wa Musa, huu ni uzushi mkubwa. Ni hakika Muhamad ni mpinga Musa na manabii wote. Na zaidi ni mpinga Kristo.

Mungu awasaidie Waislamu waone siri ya Kristo ili watoke katika utumwa wa ibada ya sanamu.

Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. 1 Kor 10:14 SUV

View attachment 3289665
Lakini kumbuka, Uislam ni dini ya shetani na ndiyo maana wao wanapinga kila kitu kilicho cha Mungu. Kingine, waislam wengi ni wehu kwa sababu wanashindwa kujiuliza ni kwanini Waarab waliwadanganya kuabudu mizimu yao (mapango, miamba, milima, miti mikubwa) ni dhambi na laana lakini utashangaa mtu na akili zake anajichangisha hela na kwenda Uarabuni kubusu jiwe, huu kama si ujinga ni kitu gani?
 
Mambo ya Walawi (Lev) 26:1

Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.

Ye shall make you no idols nor graven image, neither rear you up a standing image, neither shall ye set up any image of stone in your land, to bow down unto it: for I am the LORD your God.

wacheni ibada za sanamu
njooni kwa Yesu Kristo mtaokolewa dhidi ya Ukafiri.

ukisikia watu wanapenda kuwaita wengine Makafiri ujue wao ndio Makafiri sugu.

MaKafiri wa halisi ni hawa hapa ambao wametajwa kabla ya Uislamu, kabla ya Muhammadi na kabla ya Qurani.

Yuda (Jud) 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.

For there are certain men crept in unawares, who were before of old ordained to this condemnation, ungodly men, turning the grace of our God into lasciviousness, and denying the only Lord God, and our Lord Jesus Christ.

Kwa neema ya Kristo huwezi kusikia Wakristo wakiwaita watu fulani ni Makafiri licha ya kuwajua.
tunafanya hivyo kwakujua kuwa ipo siku wataiona Neema ya Kristo na kuokolewa katika Ukafiri wao.
 
Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
🤣🤣🤣 so amazing....

Kumbe jiwe ndilo linafuta dhambi na sio Allah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom