Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Ndugu Al-mukheef MBWARI Mwislam by choice and other Muslims , msipoteze muda wenu kubishana na Extremists Galatians like Hamis , mokiti and others hao hawautakii kheri Uislamu na Lengo lao ni kuleta mabishano na malumbano yasiyo na msingi.
Maandiko ni yenu

Soma

Sahih al-Bukhari 4376, 4377
Imesimuliwa Abu Raja Al-Utaridi:
Tulikuwa tunaabudu mawe, na tulipopata jiwe bora kuliko ile ya kwanza.
tungetupa la kwanza na kuchukua la pili, lakini ikiwa hatungeweza kupata jiwe basi tungekusanya ardhi (i.e. udongo) na kisha tuleta kondoo na maziwa ambayo tungeweka juu yake, na kuifanya Tawaf kuizunguka

Ibn Abbas alisisitiza kwamba:
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alisema juu ya Jiwe jiwe jeusi: "Na Mwenyezi Mungu! Mwenyezi Mungu ataliinua Siku ya Kiyama na litakuwa na macho mawili ambayo huona na ulimi ambao unazungumza nalo, litashuhudia kwa kila mtu ambaye ameligusa kwa moyo wa kweli."
Book 9, Hadith 155

Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba mtu alisema:
"Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili za mawe?" Alisema: "Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu akisema: ukizigusa izi pembe mbili zina futa dhambi zako."
Vol. 3, Book 24, Hadith 2922

Abdullah b. Umar (Mwenyezi Mungu akafurahi nao) taarifa:
Niliona kwamba wakati Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alipokuja Makka na ku busu Jiwe jeusi
Sahih Muslim 1261

"Nilimwona Umar bin Al-Khattab akibusu Jiwe (jeusi) na kusema:" Ninakubusu wakati ninajua kuwa wewe ni jiwe tu, na kama siku muona Mjumbe wa Mwenyezi Mungu akikubusu, nisinge kubusu. . " (huyu jamaa alikuwa smart sana alijua ni jiwe tu)
Vol. 2, Book 4, Hadith 860

2. Ibn `Abbas pia alisema kwamba Mtume alisema:" Jiwe jeusi likishuka kutoka Peponi, lilikuwa safi kuliko maziwa, lakini dhambi za wanadamu zililifanya hivyo kuwa jeusi. ”(At-Tirmidhi, Sunan)

"Jiwe jeusi ni mkono wa kuume wa Allah duniani; yeyote anayeugusa au kumbusu, ni kama anapeana mikono na Mwenyezi Mungu na kumbusu mkono wake wa kulia."
 
Kazi za sanamu jiwe la macca (kwa waislamu linafanya yafuatayo)
  • Jiwe jeusi lina fyonza dhambiza waislamu
    • Ibn Abbas alisisitiza kwamba: Muhammad alisema: "Jiwe jeusi liliteremka kutoka Peponi, na lilikuwa jeupe zaidi kuliko maziwa, kisha likatiwa weusi na dhambi za watoto wa Adamu. Jami` at-Tirmidhi 877
  • Jiwe jeusi kutoa hukumu siku ya mwisho
    • Imesimuliwa kwamba Ibn 'Abbaas alisema: Muhammad alisema juu ya Jiwe: "Na Allaah, Allaah Atalileta jiwe hiyo Siku ya Kiyama, na jiwe litakuwa na macho mawili na ambayo yanaona na mdomo ambao utaongea , na jiwe litashuhudia kwa wale walioigusa kwa moyo wa kweli. "Jami` at-Tirmidhi 961
  • Jiwe linafuta dhambi likiguswa kwa moyo wa kweli
    • Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba: "Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili?" Alisema: "Muhammad alisema: Kuzigusa zinafuta dhambi." Sunan an-Nasa'i 2919
Nafahamu kwn hata kisa cha kupatikana kwa jiwe hilo nakijua. Isipo kuwa haihusiani na masanamu wakristo kwenye biblical yao kuna neno usichonge sanamu kwa mfano wangu lkn walifanya. Sisi mtume alionyaa juu ya hilo na Allah pia anatuambia katik suratul almaidah. hivyo niwazi mtume hakukosea jambo katika utume wake ndio maana dini ya kiislam inasonga mbele na waumini wake wengi ni wa haki. Japo wanafki wapo. .. kumbuka kuna watu wanatafta makosa katika uislaam ili tu kuona sio dini sahihi lkn jua allah amesem na wapo wanao soma aya ndogo tu na kuifanyia uzushi. Usibishane kwa mambo usio na elimu nayo. Kwa hakika na waambieni ikiwa al-kaba. Ingekuwa sanamu basi ingeshuhudika hilo .msiuzushie uislaam kama ilivyo kuwa kwa wanazuoni wa mwanzo hii ni dini yenye kubainisha ukitaka potea ukitaka salia
 
UPAGANI WA KALE KATIKA USASA

Ibada ya hija bila kuvaa chupi

Wapagani wa Maka naam makureshi walikuwa wanafanya hija wakiwa watupu (uchi wa mnyama). Na Waislamu leo wanahiji bila kuvaa nguo za ndani. Mtume wa kislamu Muhamad alizaliwa katika jamii ya makureshi na tena babu yake alikuwa kuhani mkubwa wa mungu wa Maka aliyejulikana kama Allah ama Hubal. Muhamad alipozaliwa, babu yake alimpleka mbele ya alkaaba (lililopo jiwe jeusi) na kumweka wakfu kwa Hubal/Allah na kumpa jina Muhamad kwa utukufu wa Hubal. Hubali ndio mungu Baal katika Biblia aliyetolewa kafara za watoto. Muhamad ameishi Maka kwa miaka 40 akishuhudia matendo yote hayo na akishiriki kutatua migogoro ya kikabila ya kugombania kuliweka jiwe jeusi baada ya marejebisho ya alkaaba. Akaliweka yeye. Muhamad alikuwa mkureshi na alishiriki elimu yao na tamaduni zao na mengineyo hadi pale alipoamua kuachana na aina hiyo ya ibada baada ya kuwa mtu mzima. Na baada ya kupokea wayhi katika jabar hila alianzisha dini mpya ambayo ikaleta upinzani mkubwa kwa wahenga. Ila kwenye eneo la hija aliendana na wahenga kasoro kufanya tawaf uchi. Kuna muda waislamu waliingia mkataba wa hija na makureshi na walisali pamoja, waislamu wakiwa wamejifunika mavazi kama sasa bila chupi ndani huku wahenga wakiwa uchi ila wote walifanya sawa sawa katika tawaf (hijja). Wahenga walihiji hivi;

1) Kuzunguka Kaaba mara saba wakiwa uchi wakiamini nguo zinawapa uchafu (unajisi),

2) Kulibusu jiwe au kulipungia mkono na kuomba dua na kumpa utukufu Hubal allah

3) Kufanya Saayi kati ya Swafaa na Marwa mara saba,

4) Kisha kunyoa au kupunguza nywele.

5) Kuchinja wanyama baada ya hija

NB. Nao walikuwa na mwezi wa ramadhani. Rejea Maisha ya Muhamad Uk wa 16 kifungu cha 4 sura ya 4. Na katika Sahihi Bukhari vol 16, hadishi no. 28 ufafanuzi wake inasema majahili (wapagani) nao walikuwa wakifunga ramadhani kabla ya uislamu. Baada ya Muhamad kuiteka Maka na kuisilimisha, ibada ya hija ikabakia pale pale kama mwanzo kasoro kufanya hijja ama umrah uchi. Walifanya;

1) Kuzunguka Kaaba mara saba wakiwa wamevaa migolole miwili (iriham) bega moja likiwa wazi na bila chupi ndani wakiamini chupi zinawapa uchafu (unajisi),

2) Kulibusu jiwe au kulipungia mkono na kumpa Allah utukufu kwa kusema Allah ni mkuu.

3) Kufanya Saayi (kukimbia) kati ya Swafaa na Marwa mara saba,

4) Kisha kunyoa au kupunguza nywele.

5) Kuchinja wanyama baada ya hija

Hivyo Muhamad hakwenda tofauti na wahenga wake zaidi aliboresha ibada tu ya awali. Muhamad aliliheshimu sana jiwe jeusi na kuacha alama kwa wafuasi wake. Tunaposoma vitabu mbalimbali vya kiislamu tunaona namna ambavyo waislamu wanavyo fanya ibada ya kuliheshimu jiwe jeusi lililo katika msikiti mkuu wa makka uitwao Al-ka’ba unaofahamika kuwa ni “bait ullah” yaani nyumba ya Allah. Baadhi ya vitabu hivyo ni hivi…

Kitabu kiitwacho mkweli mwaminifu mtungaji sheikh Said Moosa Muhamed al-kindy kitabu cha 3-4 chapa ya 14 ukurasa wa 75 kuna maneno haya;

"Kasema mtume (s.a.w.).... Basi atakaye ligusa (jiwe jeusi) basi kafungamana na mwenyezi."

Na katika kitabu cha hadithi za Muhammad cha sahih al-bukhari vol. 2 ukurasa wa 397 hadithi na 682. katika hadithi hii tunaambiwa kwamba “kila wakati mtume s.a.w alipokuja kwenye jiwe jeusi alilielekezea kikidole na kusema Takbir maana yake Allah ni mkuu.

Na kuhusu ushahidi wa kuhiji bila chupi tunapata hapa;

Shaykh al-Islam ibn Taymiyah (Mwenyezi Mungu amrehemu) alisema:
"Vivyo hivyo, chupi ni (iliyokatazwa zaidi) kuliko suruali." (Majmu'al-Fatawa, 21/206)

Al-Muzni amesema

Kwa mfano, nabii (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alikataza Hija kwenye Ihram kuvaa shati, suruali, kifuniko cha kichwa na Khufuf, na hakuizuia kwa vitu hivi tu, badala yake alikataza pia kuvaa nguo ndefu ya kufunika mwili mzima, kofia, Kufis (kilemba cheupe cha pamba), soksi na chupi, nk.” (I’lam al-Muwaqqi’in, 1/205-207)

Maonyo ya Mungu wa Biblia

1) Ni maarufuku kuweka jiwe la kuabudia ama kuliabudu. Hii ni ibada ya sanamu. Imeandikwa;

Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

2) Kwenda nyumbani mwa Bwana bila nguo ya ndani. Kutoka 28:42,43.

Hivyo kwa utaratibu huu tukubali kuwa Muhamad sio miongoni mwa wajumbe/manabii wa Mungu bali wa Hubali mungu wa Maka. Maana ananena kinyume cha Mungu wa manabii.

Rafiki ukitaka kuliomba jiwe au kuliabudi basi usiabudu jiwe mfu bali omba au abudu jiwe lililo hai ambalo ni Kristo Mwana wa Mungu. Biblia inasema,

[11] Yeye ndiye jiwe lile lililodharauliwa na ninyi waashi, nalo limewekwa kuwa jiwe kuu la pembeni. [12] Wala hakuna wokovu katika mwingine awaye yote, kwa maana hapana jina jingine chini ya mbingu walilopewa wanadamu litupasalo sisi kuokolewa kwalo. Mdo 4:11-12 SUV

Mmwendee yeye, jiwe lililo hai, lililokataliwa na wanadamu, bali kwa Mungu ni teule, lenye heshima. 1 Pet 2:4 SUV

Mungu akubarikie sana
 
Nafahamu kwn hata kisa cha kupatikana kwa jiwe hilo nakijua. Isipo kuwa haihusiani na masanamu wakristo kwenye biblical yao kuna neno usichonge sanamu kwa mfano wangu lkn walifanya. Sisi mtume alionyaa juu ya hilo na Allah pia anatuambia katik suratul almaidah. hivyo niwazi mtume hakukosea jambo katika utume wake ndio maana dini ya kiislam inasonga mbele na waumini wake wengi ni wa haki. Japo wanafki wapo. .. kumbuka kuna watu wanatafta makosa katika uislaam ili tu kuona sio dini sahihi lkn jua allah amesem na wapo wanao soma aya ndogo tu na kuifanyia uzushi. Usibishane kwa mambo usio na elimu nayo. Kwa hakika na waambieni ikiwa al-kaba. Ingekuwa sanamu basi ingeshuhudika hilo .msiuzushie uislaam kama ilivyo kuwa kwa wanazuoni wa mwanzo hii ni dini yenye kubainisha ukitaka potea ukitaka salia
Umezisoma kazi kuu za sanamu jiwe?
 
Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Muislamu mwenye kutafakari hakika hatapinga hilo, atakubaliana na mimi. Waislamu mwanzoni mwao walipinga ibada ya sanamu (walikuwa sahihi kabisa) ila baada ya mtume Muhamad kulibusu hilo jiwe baada ya kuiteka Maka ikawa suna kwa Waislamu wote hadi leo hivi. Muhamad aliweza kuondoa ibada yote ya sanamu huko Maka lakini kwenye Hajar aswaad hakuweza.

Waislamu wote duniani wanasali wakielekea kwenye hilo jiwe, wakiinama na kuinuka kwa mwelekeo huo (kibra). Na hao wanaofika Maka kuhiji wanasali kwa kulizunguka hilo jiwe na kulibusu huku wakiomba dua. Kama ameshindwa kulibusu analipungia mkono na kuomba dua. Akili yote ya muislamu anapoenda kuhiji ni kuligusa au kulibusu hilo jiwe na hapo ndipo hija yake inakamilika. Na Waislamu wote hamu yao kuu ni kufika Maka naam na mbele ya Alkaaba na Hajar aswad ili wayaache madhambi yao huko mbele ya jiwe. Lakini dhambi bado inawanyanyasa, maana dhambi haiondoki kwa matendo ya hijja. Nawasikitikia kukaa mbali na Yesu msamehe wa dhambi.

Hijja

Ibada ya Hijja zamani hizo kabla ya Uislamu ilifanywa na Waarabu, walifanya sawa sawa na Waislamu wa leo kasoro kufanya tawaf uchi wa mnyama ili wasijitie unajisi. Wa leo wanahiji bila kuvaa chupi ili wasijitie unajisi. Mungu alimwonya Musa na wana wa Israeli wasisogelee nyumba yake bila kuvaa nguo ya ndani. Kut 20:26; 28:42,43. Lakini kwa Allah ni kinyume chake, hataki waja wake wavae nguo za ndani. Hili ni dhihirisho kwamba YHWH na Allah ni waungu wawili tofauti.

Na kwa hakika hakuna nabii au mtume au wazee wa imani waliofanya ibada sampuli hii inayofanyika leo na Waislamu huko Makka. YHWH kupitia nabii Musa aliwaonya Waisraeli wasijaribu kuweka sanamu au jiwe na kuliinamia ama kulifanya kama majaliwa ya ibada, ni chukizo kwake. Imeandikwa;

‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

Waislamu wanadai Muhammad ni nabii mfano wa Musa, huu ni uzushi mkubwa. Ni hakika Muhamad ni mpinga Musa na manabii wote. Na zaidi ni mpinga Kristo.

Mungu awasaidie Waislamu waone siri ya Kristo ili watoke katika utumwa wa ibada ya sanamu.

Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. 1 Kor 10:14 SUV

View attachment 3289665
Tuanze hapa
Maana ya ibada ni nini?

Masharti gani yanatakiwa kwa kusihi ibada?

NB
Umeandika porojo usizozijua, hakuna muislamu anaamini kwamba hilo jiwe linaleta madhara au kunufaisha bali tunaamini juu ya utukufu wake.
 
Uislamu umenyooka, haiwezekani mtu kuabudia kitu ambacho hakidhuru wala kunufaisha bali hiyo ni Sunnah ya mtume (saw)

Angalia maneno ya Khalifa wa pili wa uislamu (swahaba wa mtume) anasemaje kuhusu mada yako
 
Attachments

  • Screenshot_20250401-181742.png
    Screenshot_20250401-181742.png
    219.4 KB · Views: 18
Jiwe kufuta dhambi unafikiri ni jambo dogo?
Umeambiwa linafuta dhambi, kwa nini udanganye?

Hii ni hadith kutoka kwenye Sahihi Bukhari kitabu ambacho kinategemewa baada ya Quran
 
Attachments

  • Screenshot_20250401-181742.png
    Screenshot_20250401-181742.png
    219.4 KB · Views: 26
Maandiko ni yenu

Soma

Sahih al-Bukhari 4376, 4377
Imesimuliwa Abu Raja Al-Utaridi:
Tulikuwa tunaabudu mawe, na tulipopata jiwe bora kuliko ile ya kwanza.
tungetupa la kwanza na kuchukua la pili, lakini ikiwa hatungeweza kupata jiwe basi tungekusanya ardhi (i.e. udongo) na kisha tuleta kondoo na maziwa ambayo tungeweka juu yake, na kuifanya Tawaf kuizunguka

Ibn Abbas alisisitiza kwamba:
Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alisema juu ya Jiwe jiwe jeusi: "Na Mwenyezi Mungu! Mwenyezi Mungu ataliinua Siku ya Kiyama na litakuwa na macho mawili ambayo huona na ulimi ambao unazungumza nalo, litashuhudia kwa kila mtu ambaye ameligusa kwa moyo wa kweli."
Book 9, Hadith 155

Imesimuliwa kutoka kwa Abdullah bin Ubaid bin Umair kwamba mtu alisema:
"Ewe Abu abdur-Rahman, kwanini nikuone tu ukigusa hizi pembe mbili za mawe?" Alisema: "Nilimsikia Mjumbe wa Mwenyezi Mungu akisema: ukizigusa izi pembe mbili zina futa dhambi zako."
Vol. 3, Book 24, Hadith 2922

Abdullah b. Umar (Mwenyezi Mungu akafurahi nao) taarifa:
Niliona kwamba wakati Mjumbe wa Mwenyezi Mungu alipokuja Makka na ku busu Jiwe jeusi
Sahih Muslim 1261

"
Nilimwona Umar bin Al-Khattab akibusu Jiwe (jeusi) na kusema:" Ninakubusu wakati ninajua kuwa wewe ni jiwe tu, na kama siku muona Mjumbe wa Mwenyezi Mungu akikubusu, nisinge kubusu. . " (huyu jamaa alikuwa smart sana alijua ni jiwe tu)
Vol. 2, Book 4, Hadith 860

2. Ibn `Abbas pia alisema kwamba Mtume alisema:" Jiwe jeusi likishuka kutoka Peponi, lilikuwa safi kuliko maziwa, lakini dhambi za wanadamu zililifanya hivyo kuwa jeusi. ”(At-Tirmidhi, Sunan)

"Jiwe jeusi ni mkono wa kuume wa Allah duniani; yeyote anayeugusa au kumbusu, ni kama anapeana mikono na Mwenyezi Mungu na kumbusu mkono wake wa kulia."
Kwa nini usiandike kama hadithi ilivyo, kwa nini upunguze baadhi ya maneno ambayo ni machungu kwa mada yako
 
Attachments

  • Screenshot_20250401-181742.png
    Screenshot_20250401-181742.png
    219.4 KB · Views: 24
Hii ni moja ya ibada ya sanamu kuu duniani

Muislamu mwenye kutafakari hakika hatapinga hilo, atakubaliana na mimi. Waislamu mwanzoni mwao walipinga ibada ya sanamu (walikuwa sahihi kabisa) ila baada ya mtume Muhamad kulibusu hilo jiwe baada ya kuiteka Maka ikawa suna kwa Waislamu wote hadi leo hivi. Muhamad aliweza kuondoa ibada yote ya sanamu huko Maka lakini kwenye Hajar aswaad hakuweza.

Waislamu wote duniani wanasali wakielekea kwenye hilo jiwe, wakiinama na kuinuka kwa mwelekeo huo (kibra). Na hao wanaofika Maka kuhiji wanasali kwa kulizunguka hilo jiwe na kulibusu huku wakiomba dua. Kama ameshindwa kulibusu analipungia mkono na kuomba dua. Akili yote ya muislamu anapoenda kuhiji ni kuligusa au kulibusu hilo jiwe na hapo ndipo hija yake inakamilika. Na Waislamu wote hamu yao kuu ni kufika Maka naam na mbele ya Alkaaba na Hajar aswad ili wayaache madhambi yao huko mbele ya jiwe. Lakini dhambi bado inawanyanyasa, maana dhambi haiondoki kwa matendo ya hijja. Nawasikitikia kukaa mbali na Yesu msamehe wa dhambi.

Hijja

Ibada ya Hijja zamani hizo kabla ya Uislamu ilifanywa na Waarabu, walifanya sawa sawa na Waislamu wa leo kasoro kufanya tawaf uchi wa mnyama ili wasijitie unajisi. Wa leo wanahiji bila kuvaa chupi ili wasijitie unajisi. Mungu alimwonya Musa na wana wa Israeli wasisogelee nyumba yake bila kuvaa nguo ya ndani. Kut 20:26; 28:42,43. Lakini kwa Allah ni kinyume chake, hataki waja wake wavae nguo za ndani. Hili ni dhihirisho kwamba YHWH na Allah ni waungu wawili tofauti.

Na kwa hakika hakuna nabii au mtume au wazee wa imani waliofanya ibada sampuli hii inayofanyika leo na Waislamu huko Makka. YHWH kupitia nabii Musa aliwaonya Waisraeli wasijaribu kuweka sanamu au jiwe na kuliinamia ama kulifanya kama majaliwa ya ibada, ni chukizo kwake. Imeandikwa;

‘Msijitengenezee sanamu au kusimamisha kinyago cha kuchonga, au mnara, wala jiwe la kuabudia, na pia msijiwekee jiwe lililochongwa katika nchi yenu na kusujudu mbele yake. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.Walawi 26:1 NEN

Waislamu wanadai Muhammad ni nabii mfano wa Musa, huu ni uzushi mkubwa. Ni hakika Muhamad ni mpinga Musa na manabii wote. Na zaidi ni mpinga Kristo.

Mungu awasaidie Waislamu waone siri ya Kristo ili watoke katika utumwa wa ibada ya sanamu.

Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu. 1 Kor 10:14 SUV

View attachment 3289665
Mwamba huyu hapa
 
Attachments

  • Screenshot_20250401-183019.png
    Screenshot_20250401-183019.png
    975.1 KB · Views: 21

Similar Discussions

Back
Top Bottom