Hii ni Mogadishu, Somalia

Hii ni Mogadishu, Somalia

mzenjiboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
907
Reaction score
387
attachment.php
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1423283606.210057.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1423283606.210057.jpg
    36.7 KB · Views: 1,972
Hapo ni Somaliland na siyo Mogadishu, Somalia. Wao wana amani tofauti na wenzao wa Mogadishu.
Na hapo ni sokoni wanabadilisha fedha, kama sisi huku kwenye bureau de change.
Huko hakuna wizi, mafedha yote hadharani na amani tele.
 
fedha yao iko juu ya tsh kama double hivi. lakn hawa wana noti hadi za sh 20 sasa imagine kama mtu ana sh milioni moja za sh 20 pata picha
 
Uzuri wa Somaliland wamejikata na somalia kuepusha mpasuko wa Al shabab na siasa chafu, wanaendelea siku hadi siku
 
Uzuri wa Somaliland wamejikata na somalia kuepusha mpasuko wa Al shabab na siasa chafu, wanaendelea siku hadi siku

natamani kufika somaliland, na nipate mke wa kisomaliland
 
Hapo ni Somaliland na siyo Mogadishu, Somalia. Wao wana amani tofauti na wenzao wa Mogadishu.
Na hapo ni sokoni wanabadilisha fedha, kama sisi huku kwenye bureau de change.
Huko hakuna wizi, mafedha yote hadharani na amani tele.

Not at all!
 
natamani kufika somaliland, na nipate mke wa kisomaliland

Hahha karibu sana lakini sharti uwe na mwenyeji au utalala jela kwani wananchi wote ni polisi jamii ukiingia mwananchi ana haki ya kukuhoji we ni nani ukizingua unapelekwa ndani
 
Back
Top Bottom