tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,900
- 29,433
Kampime DNA mzee; unaibiwa!Ameshapima mkuu, na kipimo ninacho.
Kampime DNA mzee; unaibiwa!Ameshapima mkuu, na kipimo ninacho.
Hapo si unamsaidia tuu? Labda kachoka tuu.Mambo mengine mnafanya kusudi aisee, hapa saiz nimerudi home hata sijatulia nimeambiwa nikaanue nguo zilizokauka[emoji16]
Mwenyewe nimeshangaa. Maana hapo ni kusaidiwa sio kua anadeka..Kuanua nguo kwani shida iko wapi
[emoji3][emoji3][emoji3]Ndio zilivyo,
Hapo bado hujatumwa ice cream ya moto usiku wa manane
Umesema ukweli mtupu. Wanawake ni wajanja sana. Anamsoma kwanza mwanaume kabla hajaanza kufanya vituko. Zamani enzi za mama zetu haikuwa hivyo kabisa. Angemdekea nani? Izzyhass hilo linatokea kwa wanaume wengi. Anakuwa na kisirani na kila saa anataka akusumbue tu. Japo wataalam wanasema ni mbadiliko ya hormone lakini mwanamke huwa anaangalia na aina ya mwanaume aliyenaye. Ila vumilia tu baada ya muda atapunguza.Pole, wanawake recently wanadeka sana. Enzi za wazazi wetu mambo hayakua hivo kabisa. Mwanamke akikuzoea sana, anakutesa.
Mna act upendo sana! That's nonsense. Kwani ukikataa mimba itatoka?
Mwanamke wa aina hiyo ukitaka kumkomesha kama mama yake mzazi yuko hai na ana nafasi, umchukuwe aje aishi na ninyi. Hata mama mzazi wako anaweza kusaidia. Kwa kifupi mtafute mwanamke mtu mzima, aliyekwisha zaa aishi na ninyi. Nakupia hatathubutu kudeka vitu vya kijinga na akideka mama yake mzazi atamkomesha.Hili limekaa vyema coz hata daktari alinishauri hivyo ndio maana muda mwingi ninajikuta ninafanya atakachohitaji, ila nitaanza kumkatalia vtu ambavyo nitona analeta utoto.
Ukikipata kitumie, ukikikosa kijutie, ana wa kumdekea, kwa nini asideke?Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda sasa, kiasi kwamba ninafahamu tabia zake vizuri.
Lakini hivi karibuni amegundulika ana ujauzito lakini naona kama kuna vitu anafanya vinakuwa kupita kiasi. Aisee, ndugu yenu ninatumikishwa sana, mara nimkate kucha, mara akijiskia kuwashwa kidogo ninaambiwa nimkune, mara nimuandalie kifungua kinywa, kabla sijamaliza jambo moja ninapewa lingine.
Halafu kisirani sasa ndiyo kimekuwa juu zaidi. Wakuu hivi kweli mimba mara nyingine zinakuwa hivyo au anaamua tu kunifanyia kusudi ili nisiwe na amani?
Wanawake wa aina hii mnatesa sana jamani, hata kama ndiyo ujauzito inabidi mpunguze kudeka.