Hii ni Mimba au Mateso?

Hii ni Mimba au Mateso?

Dexta

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
2,324
Reaction score
5,815
Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda sasa, kiasi kwamba ninafahamu tabia zake vizuri.

Lakini hivi karibuni amegundulika ana ujauzito lakini naona kama kuna vitu anafanya vinakuwa kupita kiasi. Aisee, ndugu yenu ninatumikishwa sana, mara nimkate kucha, mara akijiskia kuwashwa kidogo ninaambiwa nimkune, mara nimuandalie kifungua kinywa, kabla sijamaliza jambo moja ninapewa lingine.

Halafu kisirani sasa ndiyo kimekuwa juu zaidi. Wakuu hivi kweli mimba mara nyingine zinakuwa hivyo au anaamua tu kunifanyia kusudi ili nisiwe na amani?

Wanawake wa aina hii mnatesa sana jamani, hata kama ndiyo ujauzito inabidi mpunguze kudeka.
 
Wewe una wachumba wangapi?!
 
Wengi wao huwa ni kujiendekeza tu,
 
Pole, wanawake recently wanadeka sana. Enzi za wazazi wetu mambo hayakua hivo kabisa. Mwanamke akikuzoea sana, anakutesa.

Mna act upendo sana! That's nonsense. Kwani ukikataa mimba itatoka?
Hakika! Mama zetu wamezaa na hawakuwa na hizi mbwembwe za hawa mabinti wa kizazi cha sayansi na teknolojia
 
Habri za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kusaka ugali wa kila siku.

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina mchumba wangu ambaye tumekuwa kwenye uhusiano kwa muda sasa, kiasi kwamba ninafahamu tabia zake vizuri.

Lakini hivi karibuni amegundulika ana ujauzito lakini naona kama kuna vitu anafanya vinakuwa kupita kiasi. Aisee, ndugu yenu ninatumikishwa sana, mara nimkate kucha, mara akijiskia kuwashwa kidogo ninaambiwa nimkune, mara nimuandalie kifungua kinywa, kabla sijamaliza jambo moja ninapewa lingine.

Halafu kisirani sasa ndiyo kimekuwa juu zaidi. Wakuu hivi kweli mimba mara nyingine zinakuwa hivyo au anaamua tu kunifanyia kusudi ili nisiwe na amani?

Wanawake wa aina hii mnatesa sana jamani, hata kama ndiyo ujauzito inabidi mpunguze kudeka.
Hapo kunasiku from nowhere atakwambia uwe unampeleka vituo vya mafua awe ananusa petrol. Kupunguza makali,mda mwingi usikae home maana kuna siku yatakufika kooni,utabutua mateke mimba itoke.
 
Wanazingua san kwa kweli me kila siku namwambia wife kuwa mimba sio ugonjwa yaani wamekua ni walalamikaji too much mpk namuambia mbona tunawaona barabaran uko wanawake machiz wanamimba mpk wanazaa na hawana wa kuwadekea kama ivi nyiny ?
 
Back
Top Bottom