Hii ni mbinu mpya ya kibiashara

Hii ni mbinu mpya ya kibiashara

PAGAN

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
13,871
Reaction score
23,488
14695383_559128810946482_1171754156704875327_n.jpg
 
Una nunua house unapewa nyongeza matatizo patamu hapo
 
Vigezo na Masharti kuzingatiwa.

Huu Ulimwengu!

Kweli hauishi maajabu
 
Yawezekana kuna uhaba wa wanaume huko. Usikute lengo kuu hapo ni kupata mme kwa huyo dada.
 
Udhalilishaji mtupu huu! Watu wa haki za binadamu waingilie kati kukemea upuuzi huu! Mwanamke si bidhaa bwana!
 
Huyo mwana mke ndo atabaki na nyumba wewe ukiwa umekufa muda mfupi baada ya kununua hilo Bangalore.... kweli maisha ni mipango!
Yeah, siku hizi hata mahouse girl ni wakidigital. Anakuja anasoma ramani wiki mbili tatu baada ya hapo umeenda job ukirudi unalia.
 
Udhalilishaji mtupu huu! Watu wa haki za binadamu waingilie kati kukemea upuuzi huu! Mwanamke si bidhaa bwana!
Nyie wenyewe ndo mnataka kudhalilishwa kwa sababu nimategemezi sana na maombaomba sana.ukiombwa maku unaanza kuleta invoices. Utafikiri nyie hamsikii raha
 
Kwani kashikiwa bunduki .......??
Wanaume walivyo wajanja kwenye biashara wee acha tu. Nyumba imedoda sokoni anataka ipate mteja haraka anaweka picha ya mwanamke eti ukinunua hiyo nyumba na mwanamke ni wako.Huenda hata huyo mwanamke hana habari picha yake imewekwa kwenye tangazo la kuuza nyumba.
 
Dada hatutakiwi kuongea HISIA maana tunaweza kuingia kwenye ule utafiti wa 4:1 na mimi si wa hivo.
 
Back
Top Bottom