Hii ni mazingaombwe,Maigizo Script au ni Halisia?

DALALI MKUU

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
2,440
Reaction score
5,750
Nimepita mitandaoni kama kawaida mimi ni mpenzi sana wa Kufuatilia mafundisho ya Dini hasa ya Kikristo napenda sana huduma za Kinabii pia. nimekutana na hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Prophrt Philnbert Paskali amabaye ni muhubiri wa kanisa la kigamboni.

Sasa watu wa Jicho la Tatu je hii ni kweli? angalia mwenyewe

View: https://www.instagram.com/prophet_philbertpaschal/reel/DLxihgcMofC/
 
Yaani ameshindwa kuwasaidia hao walioko humo ndani wana shida nyingi anakimbilia wapita njia
 
Back
Top Bottom