Mikwara ipi ina mana mke haeelewi kua huyo Binti ni msumbufu si unampa namba wanapambana wenyewe, halaf huyo demu hawezi kaza kiasi hicho unaeza Kuta nyuma ya milango anamfaham MUHESHIMIWA ni mtu wa totoz
Nimeambulia kujua huyo mheshimiwa ni mkuria kwa comment za humu si mtoe taarifa kamili basi ni nani katongozwa nn kinaendelea mbona mafumbo na sisi ni fake id?
Na wanawake wakianza kushitaki wanaowatongoza kwa siku mahabusu na magereza si zitajaa watu?
Hata kama ni kutafuta kwenda viral kwenye mitandao ya kijamii sio kwa stahili hii