Hii ni kweli yanatokea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii ni kweli yanatokea

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Isalia, Dec 29, 2011.

 1. Isalia

  Isalia JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 950
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Jamani hivi ni kweli mmo ndani ya ndoa lakini ukimtaka mkeo kimwili uanze kumtongoza kama vile hamjawahi kuonana ingawa mnalala kitanda kimoja
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ndio bushoke hivyo tayari
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kuna walakini hapo... Akishaolewa, anatakiwa kulala kama alivyozaliwa,
  wengine husema, anatakiwa kuvaa kufuli kichwani.. Nawewe hivyohivyo....
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Ikikukolea hiyo system ya kumuomba mkeo game kihivyo na ikakuingia damuni. Basi elewa kuna siku itakua umo kwenye bus unasafiri na utamuomba kondakta akuruhusu ufungue dirisha uteme mate! Ni zaidi ya uhayaONE.
   
Loading...