ibn juma3 al-qaasimy
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 289
- 153
Inasemwa kuwa ugonjwa wawatoto wenye vichwa vikubwa husababishwa na mama/mtoto kukosa FOLIC ACID, na folic acids hupatikana sana kwenye MBOGA MBOGA na MATUNDA.
Kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi wenye vichwa asilimia kubwa wanatoka vijijini, hali yakuwa wao niwatumiaji wakubwa sana wa MBOGA MBOGA na MATUNDA?
Kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi wenye vichwa asilimia kubwa wanatoka vijijini, hali yakuwa wao niwatumiaji wakubwa sana wa MBOGA MBOGA na MATUNDA?