Hii ni kweli kuhusu ugonjwa wa vichwa vikubwa?

ibn juma3 al-qaasimy

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
289
153
Inasemwa kuwa ugonjwa wawatoto wenye vichwa vikubwa husababishwa na mama/mtoto kukosa FOLIC ACID, na folic acids hupatikana sana kwenye MBOGA MBOGA na MATUNDA.

Kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi wenye vichwa asilimia kubwa wanatoka vijijini, hali yakuwa wao niwatumiaji wakubwa sana wa MBOGA MBOGA na MATUNDA?
 
Inasemwa kuwa ugonjwa wawatoto wenye vichwa vikubwa husababishwa na mama/mtoto kukosa FOLIC ACID, nafolic acids hupatikana sana kwenye MBOGA MBOGA naMATUNDA,

##kwanini waathiriwa/wagonjwa wengi wenye vichwa asilimia kubwa wanatoka vijijini, hali yakuwa wao niwatumiaji wakubwa sana wa MBOGA MBOGA na MATUNDA??? ##
Inasemekana ... nani kasema??
 
we fuata tu ushauri wa daktari, ni vyema kwa mwanamke anayetarajia kupata ujauzito kuanza kutumia vidonge vya folic acid mapema (miezi 2 au 1) kabla ya kupata mimba na kipindi chote cha ujauzito.
hiyo huepusha hili tatizo kwa asilimia kubwa, lakini kuna visababishi vingine ni vigumu kuvitambua na kuviepuka.
 
Back
Top Bottom