Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Labda akiwa mkubwa anasahau tena!nitathibitishaje, naweza kumuuliza akiwa mkubwa?
Teh teh teh! MziziMkavu ni rafiki yangu anawatoto wakubwa!tena mungu amemjalia sana,kadiri siku zinavyozikwenda yeye anazidi kuwa kijana kama anavyoonekana kwenye avator!unatarajia first born nini mzee, manake thread kama hizi naona unazo zaidi ya moja. tunakutakia mapokezi mema ya mgeni.
Teh teh teh!Mzizimkavu ni rafiki yangu anawatoto wakubwa!tena mungu amemjalia sana,kadiri siku zinavyozikwenda yeye anazidi kuwa kijana kama anavyoonekana kwenye avator!
Teh teh teh!jifunze kuamini mkuu!May be kweli
Teh teh teh! MziziMkavu ana watoto kadhaa!Aise! yaani badala ya kuzeeka yeye anazidi kuwa kijana?! hongera yake, na je ana watoto wangapi mpaka sasa?
Mimi nipo hapo number 4 mkuu, source MziziMkavuTeh teh teh!jifunze kuamini mkuu!
Hakika mungu ni muweza wa yote!Mungu na maajabu yake..
Safi sana mkuu!Mimi nipo hapo number 4 mkuu, source MziziMkavu