Kuna rafikiangu alienda kanisani na mdogo wake wa kike,wakiwa kanisani wakati mchungaji anatoa neno la bwana yule mtoto c ndio akaanza kulia
mchungaji akajua kua neno la bwana limemgusa yule mtoto ndio maana akawa analia c ndio akamfuata na kumuuliza unalia nn mtt mzuri?
Mtoto cndio akasema "nnapokuona ww na izo sharubu zako namkumbuka paka wangu wa kule nyumbani ambae amefariki"
mchungaji kimya....