Hii ni kweli jamani, au uongo. Mnasemaje?

Ndoto hizi kutimia ni ngumu sana, Kwanza tuweke sawa ya A.mashariki kwanza, kisha tuimarishe uchumi kwa wananchi, sio uchumi unaokua ktk makaratasi
 
Fifa wataanzisha pia sheria ya uvaaji helmeti kwa wachezaji kuzuia asidi.

Na wachezaji watakumbushwa hakuna kutafuna tafuna hadharani endapo Word cup itaangukia Ramadhani utawekwa ndani hata kama jina lako "christiano ronaldo!"
 
Wacheni kutukebehi,sisi tunachotaka ni mamlaka kamili,yaani znz kwanza then hio ndoto itakuja kua ya kweli baada ya znz kupata uanachama FIFA.
 
hiyo ni kweli, ngoja nianze kubuni vuvuzela litakalo tumika. Nataka liwe la kidigitali litakalo endana na BRN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…