Hii ni kweli imani ya upagani itatawala dunia?

MIAKA 30 MBELENI IMANI YA ATHEISM ITATAWALA DUNIA(upagani,kutoamini mungu)


Sababu kuu ni moja tu, mfumo huu wa maisha ya sasa utakuwa umepinduliwa na kuwa replaced na mfumo mpya.

Mfumo huu mpya utajibu maswali yote ambayo dini kuu mbili zimeshindwa kuyajibu.

Maendeleo ya sayansi na teknolojia ndio yatakayo fanya mfumo wa maisha ya sasa hivi upinduliwe na kuwa replaced na mfumo mpya.

NAMAANISHA NINI KUSEMA MFUMO WA MAISHA?

Ngoja nikupe mfano kidogo. Nakurudisha hadi kwenye bustani ya Edeni kabla Adam na Hawa hawajamuHasi mungu.

Kwenye bustani ya Edeni, Adam.na Hawa waliishi chini ya mfumo maisha ambao ulikuwa tofauti na mfumo wa maisha ambao waliuishi mara baada ya kafukuzwa kutoka Eden. Mfumo ambao ndio tunauishi mpaka.leo.

Kwenye bustani ya Edeni hakikuwa na

1. Kifo
2. Magonjwa.
3. Kula kwa jasho.

4. Kuzaa kwa uchungu.

5. Adam na Hawa wali exercise their full authority of each and everything that surrounded them.

5. Adam na Hawa walikuwa wanazungumza na Mungu physically. God the Almighty was physically visible from their point of observation.

6. Kifupi ilikuwa ni bata juu ya bata.

BAADA YA KUFUKUZWA EDEN:
ADAM na Hawa ,walianza kuishi maisha ambayo :

1. Walijua kuna kifo.

2. Kulikuwa na kuugua

3. Kuzaa kwa uchungu.

4. Kula kwa jasho.

5. No more physical contact with God.

6. Their authority over other creatures was a little bit shaken.

Tafsiri rahisi ni kwamba baada ya Adam na Hawa kuasi la Mungu, mfumo wao maisha ulibadilishwa juu chini. Walianza kuishi chini ya mfumo mpya ambao ilibidi wa u adopt.

MIAKA 30 IJAYO.

Kwenye Biblia imeandikwa kwamba siku atakayo kuja Yesu atashusha mbingu mpya na nchi mpya. Kwa tafsiri yangu Mimi hizo mbingu mpya na nchi mpya ni mfumo mpya wa maisha na sheria mpya za maisha zitakazo endana na mfumo huo mpya.

MAMBO MAWILI YATAFANYIKA

1. viumbe kutoka sayari na universes zilizo endelea kiteknolojia watashusha teknolojia yao kwa watu wanao ishi katika sayari .
YESU ANAZIDI KUSHIKA KASI BALAA SASA ANATENDA WAZIWAZI
 
Mungu alichomoa nati hio ya kuishi bila kula ndio maana aliwaambia kula matunda yote isipokua la katikati ukila utakufa Si unakumbuka?
Kwa nini kaweka mti halafu kakataza watu wasile matunda?

Kwa nini asingeuweka huo mti au asingefanya uwepo lakini hauonekani?

Unatengeneza maswali zaidi badala ya kuyajibu.
 
Kwa nini kaweka mti halafu kakataza watu wasile matunda?

Kwa nini asingeuweka huo mti au asingefanya uwepo lakini hauonekani?

Unatengeneza maswali zaidi badala ya kuyajibu.
Aliweka mti Ila aliwaambia msile matunda yake unakumbuka?
 
Thibitisha kuwa hizo si hadithi za watu tu.
Ndio inavyosemekana kwamba walikua wameungana kwenye mwili mmoja kabla hawajawahi kutenganishwa mpaka akaanza kusema 'wewe ni nyama katika nyama zangu na mfupa katika mifupa yangu', au wewe haujawahi kusikia?
 
Ndio inavyosemekana kwamba walikua wameungana kwenye mwili mmoja kabla hawajawahi kutenganishwa mpaka akaanza kusema 'wewe ni nyama katika nyama zangu na mfupa katika mifupa yangu', au wewe haujawahi kusikia?
Ukishaanza na "ndio inavyosemekana" unaweza kusema lolote.
 
Back
Top Bottom