Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,711
- 1,914
Wapendwa ni bora kuokoka kumpa Bwn Yesu maisha akuondolee kiu ya ngono!!
Akuponye tamaa za mwili ambazo ni misukumo ya kishetani!!
Uongo, Ulaghai, hila, zinaa, ufirauni yote hayo misukumo ya kishetani. Jibu lake ni Bwn Yesu!!
Mbarikiwe nyote!!