Hii ni kweli au wanajitetea tu!

Hii ni kweli au wanajitetea tu!

Unakubaliana na huyu dada kwa kiasi gani?


  • Total voters
    11
  • This poll will close: .
Kiasilia kiumbe chochote cha kiume ni polygamous anza hapo ulipo chunguza jogoo jinsi anavyomiliki majike, swala,simba n.k na iko hivo hiyo ni nature. Sasa huyo mwanamke anasumbuliwa tu na umalaya na ana justfy umalaya wake kwasababu za kijinga tupu au labda huko kwao Nigeria ndio wapo hivo.

Hivi nani ameshaona ndoa ya mwanamke mmoja na wanaume watatu?
 
wanawake mara nyingi wanalipa fadhila kupitia ngono unaweza kumpa hata lift akakutunu
sio kwamba natunga ila ni hali halisi na tunaona na tunapitia
Now i get it.
 
Mwanamke hata akiwa na jamaa yake ukimfanyia tu urafiki wa kumjali haswa lazima akuzawadie penzi.
 
Angesema men r polygamous in nature ngemuelewa cuz the male population is relatively ndogo in any population yani human and animals alike. Ila tatizo mtandao unafanya watu wajiongelee tu ilimradi waonekane tofauti sjui don't care..anyway..ifike stage mwanamke na mwanaume wajue nafasi zao katika jamii na rlshp,pamoja na kuheshimiana..kucheat sio sifa,its something unafanya ambacho hurts ur partner,na Kama bado ulikuwa unahamu Sana ya ngono na watu wengine bas do it bf u commit urself to someone.Dats it.huwezi Basi usiingie kwenye rlshp..have sex ol u want n in dat case u won't cheat on anyone.Tuache mashindano ya kijinga.
 
Mwanamke ana tendency ya kutaka kujua kila mtu amevutiwa na nini kwake....Mpaka mwili wote ukamilike!
 
Ulichokuwa unakijua mwanzo ndio sahihi. Niamini mimi braza wifi yangu akikuchiti umempa mwenyewe sababu ya kufanya hivyo
Ndo mnavyo jidanganya. Hakuna sababu yoyote zaidi ya nature tu. Wanawake ni binadamu, hawana tofauti na wanaume. Wakipata fursa ya kuchepuka wanachepuka tu
 
Back
Top Bottom