Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)

Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Wakati wa uchaguzi mkuu wa Chadema, Dr. Slaa alisema mbele ya msajiri wa vyama vya siasa (Mangula alikuwepo) kwamba CDM ndio chama pekee kinachopelekaga hesabu zake za fedha kwa msajiri, sio Philip Mangula wala msajiri waliobisha, hadi leo wapo kimya, silence means yes
Naomba pia nikueleweshe, mkaguzi wa hesabu sio jukumu lake kukagua hesabu za vyama vya siasa na kama lingekua ni jukumu lake CDM wala wasingekua na hiari ya kukataa au kukubali, uwe unaelewa we kichwa maji
 
wewe sio mwanachama na hata haufatlii, coz michango imechangishwa mpaka fb et mwanachama, mwanachama gan?

.... Nadhani Nilipitwa Mkuu, Nisaidie Zilichangwa Shng Ngapi Huko Fb?
 
........ Kumbe CAG Siyo Jukumu Lake Kukagua Vyama? Daah, Mbona Tunapotezwa Na Wanasiasa?
 
... Halafu Inakuaje Chama Kichanga Kinakuwa Na Nguvu Ya Pesa Kuzidi Hata Vyama Vikongwe? Wangetuzuga Basi Hata Kuchangishana.!
 
Mtowa post kama kjinyea vile
 
Michango ya wanachama wetu na marafiki wa chama hiki wamejitoa sana kukisaidia chama
 
Hapo hakuna cha uzalendo wowote hao wanaongozwa ma mfalme wasiomjua malengo yake,kwanza jamaa ni fisadi sema anajificha kwenye shamba la karanga ambapo wenye macho hatusumbuki kumuona.
 
Hapo hakuna cha uzalendo wowote hao wanaongozwa ma mfalme wasiomjua malengo yake,kwanza jamaa ni fisadi sema anajificha kwenye shamba la karanga ambapo wenye macho hatusumbuki kumuona.

.... Kumbe Kiongozi Wetu Mkuu Ni Mfalme Na Fisadi? Tutake Radhi Sis Wazalendo.!
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Ifweero mchumba wako naye alichangi yote unayouliza sasa utachukua hatua gani kwa mkeo?
 
Kwa mujibu wa mwongozo wa chama cha ACT wazalendo,kila mwezi watakua wanatoa taarifa ya mapato na matumizi,kwahiyo wee subiri mambo yakae vizuri mambo yote yatakua wazi

Na zile mnazopewa na ccm nazo mtaziweka wazi?
 
Michango ya wanachama wetu na marafiki wa chama hiki wamejitoa sana kukisaidia chama

..... Sijakataa Mkuu, Naomba Tu Kujuzwa Gharama Zilikuaje Na Vyanzo Vyetu Vya Mapato Ni Vipi, Na Hao Wafadhiri/marafiki Ni Kina Nani?
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

nitakujibu 2 na 3,
2.ilikaguliwa na CAG, ikiwemo ccm vilipata hati ya mashaka
3.alirudisha, bahati nzuri hata yeye alikiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…