Hii Ni Kwa Wazalendo Tu ( ACT)


Mkuu wafadhili wa ACT ni wale wapenda mabadiliko ya kweli; haujakatazwa kuchangia japo sh. 100

ACT wazalendo hawasubiri kuchangishwa au kupigiwa mbiu, tunaanza na wenye moyo

ukiwekewa majina ya akina nani waliochangia hautaamini wako watu wa kila vyama, taasisi n.k

kama ulifikiri take away na maji ni gharama kuliko ukombozi wa taifa hili...pole we
 
Kwanini vijana wa ccm mmekuwa watetezi wa ACT, mnawaharibia wenzenu au labda kama ndo makubaliano yenu.
 

Kashajibiwa, hayo mengine umeyaona wewe nivizuri kuamini hivyo ulivyo amini lakini si uhalisia ulivyo
 

ACT inakuwasha sana kwenye masaburi yako
 

Umejitahidi kumpendelea kwa kumpa uwazi wa kizalendo kiukweli jamaa hatarudia swalihili naona atakumbuka kuwa CCM wapo
 
tulichanga pesa kupitia namba zilizokuwa zimesambazwa mitandaoni.
 

'Hebu punguza maswali, kwanza umeshakula kijana?' In Roma's voice kwenye Nchi ya Ahadi ft Kala Jeremiah
 
Pia tunaomba kujuzwa yafuatayo:
1.yale magari mabovu ya mbowe aliyokiuzia chama yaligharimu kiasi gan?
2.kwanini chadema inaogopa kukaguliwa na CAG?
3.zile pesa za chama alizojikopesha dr slaa amezirudisha?

Hayo Maswali muulize CAG. Maana km kuna matatizo makubwa kwenye chama wangenyimwa Ruzuku. Km wanapata bado bac ujue chama kiko vzuri.
 

Km kuna hayo matatizo na unaushahidi nayo Tangulia Mahakamani ukashitaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…