mbweta
JF-Expert Member
- Dec 10, 2010
- 600
- 81
Ila kwa sasa watoto wa kishua kidogo wana mwamko na elim tofauti na zaman yan wameanza komaa na xul kwan anakuwa na kila kitu anachoitaji kwa ajir ya xul ila bado ambao hawaja stuka. Pia hata kwa wenzetu ce wa changanyiken watoto wetu wanapelekwa xul kwa tab alaf wanaleta uhuni usanii mashulen ivo kufanya vibaya na kuwa waendesha bodaboda. Ivo tatizo lipo pande zote cjuh kama ni sikio la kufa au vip?