baldin
Senior Member
- Jan 2, 2012
- 185
- 41
Habari zenu wadau,tatizo la SYSTEM ERROR E100 kutokea kwenye photocopy machine IR 1600 inasababishwa na nini na jinsi gani naweza kulisolve ,naomba kufahamishwa zaidi kwa wenye ujuzi kuhusu hili swala,nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kutatua tatizo hilo.​