Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Wewe,kwa nini wadada tu????unamaanisha huyo atayekukaribisha kuishi kwake akukaribisha na kila kitu chake???personally nilianza kukuelewa ila ulipoanza kueleza habari za uhandsome naona sitaweza.
Kaa tu na handsome wako lol!

Mamajack nimekuona nikakumbuka, vipi yale makitu ndani mwako yalikoma? samahani kama mbukumbuku siyo sahihi
 
Aisee mkuu mbona umekata network mapema hivyo ? Unatudhalilisha wanaum?e

Mimi nahisi huyu jamaa ametoka ughaibuni na hicho kigari chake ambacho anaona dili, bado ana ile mentality ya long time kuhusu gari ndo maana anatudhalilisha hivi
 
Hawa ndo wanaume wa siku hizi? eeh Mungu tusaidie! Kwa nini usiuze hilo gari ukapata hela ya kupanga chumba na mtaji wa biashara??
 
gaari linahitaji matunzo tatizo huyu ninaekaa nae kama umeelewa stori anaitumia vibaya kiasi ambacho mm ni kulala sebuleni akiwa anakuja na mademu[/QUOTE]

sasa ulitaka akija na demu mlale wote watatu chumbani!?shukuru mungu wewe una hata sebuleni kwa kulala!mtu akukarimu vipi ndo uwe na shukrani,wenzako wanatafuta hata kupewa jikoni au koridoni pa kulala!mjini hapa mdogo wangu kulala sebuleni ni shwari tuu!
 
gigolo ndio nini?

wanaume hasa vijana wadogwadogo wanaopenda wanawake watuwazima wenye pesa yani matajiri mara nyingi wanawake hao huwa ni wale wajane waliochiwa pesa na waume zao
 
Hiyo gari infaye taxi, endelea kukaa na huyo jamaa yako, uwe na mapenzi makubwa ya kulala sebuleni inapobidi.Hakuna maisha rahisi kama unavyofikiri.

Kila la kheri.
 
Huyo bint nae jamaa yake akija si utalala sebuleni uje uanzishe thread nyingine? Lala kwenye gari yako hutabughudhiwa na mtu.

na kilichokuchosha wew ni kulala sebulen na yey ku2mia gari lako bt umesema pia binti atakua anatumia gari huona kama umeruka mkojo na kukanyaga ma., pole jipange sawasawa ndo uje mjini
 
Yuko inconsiderate pia. Kama rafiki yake kam'beba, wanakaa vizuri tu na kushare kitanda. Amekuja girlfriend wake, alitaka wao ndo wakalale sebuleni wampishe chumba? Angekuwa na nidhamu kama anajua na girlfriend wa rafikiye anakujaga hapo, alipaswa kugoma kulalia kitanda hicho wakati hayupo pia!
 
duh, mkuu umenigusa sana na ushauri wako mzuri...jamaa seki6 kama ana akili timamu atafuata ushauri huu kwani utamtoa...hapa mjini na huo anaouona uhendsam wake ataishia kupakatwa na wajanja..muhimu ni kukomaa mtoto wa kiume asitegemee wadada..atarudi kijijini na nguo moja we muache tu achukulie poa wadada wa mjini hapa!
Ficha upumbavu wako kama una uwezo wa kumpeleka kazini huyu msichana unayetaka akusaidie kwanin ilo gari lako usilitumie kama tax?,mtafute dereva wa tax mkabizi gari uwe unapata 15k kwa siku,au kama maisha magumu uza gari nenda hata kawe kuna nyumba za bei rahisi za kupanga,acha kubweteka!! Mwanamme asifiwe uhandsome bali kazi na kwenda bank kudeposit au kuchukua midolari!
 
Njoo kwangu ukae kwangu,ila mimi sitatumia gari lako wewe ndio utatumia la kwangu,Driver wangu wa kunipelekea wanangu Shule nime mfire manake alikuwa anakuja ananuka pombe na kuna siku mwalimu alikomplain kuwa amekuta toti ya konyagi kwenye begi la mtoto, nilipo muuliza akasema aliitoa kwenye gari, aucle dereva huwa anaweka kwenye soda anakunywa hivyo nae akataka kuweka kwenye Juice yake ya Shule.
 
Mkuu nina wac wac na hiyo degree yako.....yaan ka vile ukwenda chuo ....umesahau ki2 cha kupigwa EXILE. sasa wewe unataka jamaa akija na manzi yake mkalale wote kwenye bed moko? lazima u seek asylum au uende uhamishon ambako ndio hko sebulen.
 
Kaka ulishaambiwa, ukipenda kula vya wenzio na vyako huliwa! Wewe uko Dar umefikia kwa rafiki yako maana yake unatunzwa na rafiki yako, kuna ubaya gani yeye naye akatumia gari lako? Ukiishi na huyo dada ukafanya kazi ya kumpeleka kazini na kwenye mizunguko yake si ni sawa tu na kumuazima gari huyo rafiki yako? Au kilichokukera ni kulala sebuleni??!

Kwanini usipange chumba kukwepa fedheha hii??
 
Kweli watoto wa dot.com ni shida tupu............unataka mwanamke ili??? Kijana weka gari tax ikulipe acha kupenda vya bure
 
Nigga you think your friend strips them off because he use your car...that's true but not just that, he got somewhere to live and he has priority in life. They say ladies never goes back finacially and they are always lookibg for someone they feel secure financially regardless they are choppiNg ur money or not.

You can try taxing with your car for the time being upate angalau chumba cha kupang na godoro! Start the hardway nikka
 
Amepitwa na wakati,wadada hatushobokei magari..

sasa unataka niseme sina gari wakai ninalo dada kama wewe umejinasisha kwenye mtego wa gari that is ur business take consideration on how you can help me to overcome unemployment that it
 
Back
Top Bottom