Hii ni kwa wanawake wanaokaa dar tuu

Duuu kweli Degree yako Buree kabisa ndio elimu ya Bongo ilivyo mtu anaelemu hajui kwa kuanzia anasubiri kuajiliwa na kuanza kujiuza na mwisho wake mwanaume kuolewa kabisa .Mfano gari likigongwa ajaolewa huyu?........! Bora ungebaki kwenu uwe unawapeleka wazazi kanisani kuliko kuja kupeleka watu kazini tu .
Je mafuta ya kuwapeleka hao mabinti kazini mafuta utatoa wapi? Hilo gari wewe sasa huwezi miliki ndio maana jamaa anafanya lake. Acha kuwadharau wadada kisa gari usikute gari lenyewe la kusukuma.
 
kwanini usiuze hilo gari na likawa ndiyo capital ya kuanzia biashara unayodhani upo na uzoefu nayo kutokana na degree yako uliyosomea kuliko kutafuta mtu mwingine ukaishi kwakwe next time akikutenda utakuwa unatafuta mwingine au utakuwa unafanyaje sasa?, labda km hilo gari ndiyo kigezo cha kupata huyo mwanamke na si kazi km usemavyo kwakuwa km unagari sasa hela ya mafuta,matengenezo, maengesho pia unapata wapi wakati unadai huna kazi???.
kuwa mbunifu na degree yako km kweli unayo labda km ni ya mtaani na si darasani.

Mi namshauri auze gari apate hela ya kulipia kodi ya nyumba na ya kuanzia biashara!
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

SWALI?????? GARI ULINUNUAJE AU ULIHONGWA???????

Mi ningekukalibisha kama ungeomba tu msaada bila kigezo cha gari wala uhandsome cause gari ninalo tena linaweza likawa la gharama kuliko lako.
uhandsome hautakusaidia kupata mahali ila kama ungesema una roho nzr ingawa ni ngumu kuprove that labda ningefikiria
Na uliposema fadhila yako kwake ni kuishi nae tu kwani ulitegemea uombwe nini?????? kwa maelezo yako huna kazi so ungehudumiwa kila kitu kinachohitaji hela.

anyway best of luck.
 
Aiseeee baba yangu leta ilo gari huku rombo 2fanye biashara ya kubebea ndizi kama ni dogo 2tatoa iyo injini 2taweka kwenye fuso

ngoja nikafungue mbuzi
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

heheheeee heheiyaaa! poleee mbona utajibeba?
mambo ya kubebana pa kulala ilikuwa chuo tena wakati wa mitihani we unataka kubebwa au kumbeba mdada aliye single?
kwa nn usiwa unalala kwenye gari lako hadi upate zaki? na uwe na garama ya parking too?
coz what if mdada unapata mnakaa wote mshee room 1 ila chumba alichopanga kipo mahali ambapo gari ahifiki risk tena ya kulaza gari wapi we ongea na mlinz wa ccm paki gari lako na lala humo hutapata bugudha ukipata kazi na mkwanja tafuta nyumba sinza ukae, au kama vipi uza gari upate hela ya kupanga chumba au gari ya mshua?
lol ila polee
 
ukizaliwa ww ni kijanaa, ukose kazi tabu yote itakupata......................
 
Mambo yeno mm ni mhitimu wa chuo kikuu nina degree ila nipo hapa mjini kwa lengo moja tu yani kutafuta kibarua so nimefikia kwa rafikiyangu mmoja maeneo ya sinza ndiyo nakaa nae ni mwezi sasa naishi nae illa tumeanza kutoautiana maana hakuna privacy jamaa akija na demu wake inabidi nilale sebuleni sasa maisha haya yamenishinda na nimekuja na gari langu limekua ndiyo kama la kwake na kutafutia mademu maana wakati mwengine nina wese la kuweka kwenye gari inabidi niwe mpole sasa nimeamua nibadilishe mbinu ya kuishi town natafuta mdada ambaye yupo alone anaishi pekeyake ili nikae nae kwa muda huu wa kusaka kibarua nitakua nampeleka kazini na kwenye mizunguko yake na gari langu litakua kama lake na fadhila yake kwangu mimi ni kuishi nae tu naomba madada wanao kaa mjini ambaye yupo tayari pls ani pm namba yake ya simu tuwasiliane am good looking ila kwasababu sina kazi kau handsome kamefifia kidogo

Degree gani na ya wapi hiyo?
Hizi Degree nyingine....yaani hazisaidii kabisa!!!!!!
 
sasa hapo credential yako ni uhandsome,ujuzi wa kuendesha gari,gari lako,degree yako,au kutokuwa na makazi?usipende umarioo dogo,mjini hapa!fanya gari yako taksi bubu utapata pesa ya kupanga chumba muda si mrefu?na ulianzaje kununu gari kama huna hata uwezo wa kulipa kodi mi vijana wakati mngine siwaelewi kwa kweli!
 
haiwezi tokea maana c utakua unadetails zangu zote nitakubaka vip

aliyekwambia wanaobaka ni watu wasio na deatilsa nani?naanza kutilia shaka degree yako kaka!yani we umekaa weee umefikirii,umewaaaaza,umushauriaaana mwenyewe na halmshauri ya kichwa chako umeona hyo ndo njia ya kutoka?NAFKIRI ITAKUPASA USUBIRI BAADAE SANA!
 
Back
Top Bottom