Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
- Thread starter
- #21
mkuu upo sahih bt tambua we mwenyewe unaweza kua umetokana na mimba ya usaliti/familia ya kichawi
Nyie watoto wa kambo ndio mna akili kama hizi
mkuu upo sahih bt tambua we mwenyewe unaweza kua umetokana na mimba ya usaliti/familia ya kichawi
Pia mwanamke mpumbafu ndio kimbia kabisa speed ya light.
Kila MTU amwache mwenziwe kwa sababu zake ambazo yeye binafsi hawez vumilia
usilolijua ni sawa na usiku wa gizaNyie watoto wa kambo ndio mna akili kama hizi
1. Ujeuri
2. Kutokuheshimu wazazi wako
3. Uchoyo
4. Kukupa papuchi kwa ratiba kama mgao wa umeme Bongo
5. Kutokuwa na akili ya maisha.
Je hizi sababu hazifai kumuacha mke?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimuache kisa uchawi wee
aniroge tu aniwekee hilo limbwata
unajua kipindi hiki ukiachwa kinavyouma
acha tu
Uyu sio kwamba anaitaji msaada wako tu mkuu??akinuka papuchi anaachwa pia
kitakuwa kipindi cha ala za roho[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipindi gani?
Usenge uoHaya mambo hayana formular ,wengine wanaishi na wachawi na life linaenda fresh tu
Bichwa lako!kitakuwa kipindi cha ala za roho
basi jahaziBichwa lako!