Hii ni kwa wanaume waliokamilika

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,038
Kwa wanaume waliokamilika na wanaojitambua kweli kweli mwanamke anaachwa kwa sababu kuu mbili tena bila vikao wala mjadala wala ushauri!

1:Mwanamke msaliti hastaili msamaha wa aina yeyote fukuzia mbali akakutane na wasaliti wenzao!

2:Mwanamke mchawi fukuzia mbali atauwa kizazi chako chote!

Kwa hivyo mwanamke anaachwa kwa sababu mbili tu! M saliti na mchawi, hizo tabia zingine mvumilie huyo ni chaguo lako.

1619948504884.png
 
Kwa wanaume waliokamilika na wanaojitambua kweli kweli mwanamke anaacha kwa sababu kuu mbili tena bila vikao wala mjadala wala ushauri!
1:mwanamke msaliti hastaili msamaha wa aina yeyote fukuzia mbali akakutane na wasaliti wenzao!
2:Mwanamke mchawi fukuzia mbali atauwa kizazi chako chote!

Kwa hivyo mwanamke anaacha kwa sababu mbili tu!msaliti na mchawi,hizo tabia zingine mvumilie huyo ni chaguo lako
1. Ujeuri
2. Kutokuheshimu wazazi wako
3. Uchoyo
4. Kukupa papuchi kwa ratiba kama mgao wa umeme Bongo
5. Kutokuwa na akili ya maisha.
Je hizi sababu hazifai kumuacha mke?
 
Back
Top Bottom