Hii ni kwa wanaume tu ndio inawafaa zaidi

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
792
Nawaapiza ukipata mlo huu lazima mwenza wako akimbie kwa shoo, sikulazimishi jaribu one day then majibu utayaleta kwa hapa kama ushahidi. Kwichikwichi yake sio mchezo 6×6 per sleep.....
fuyupai-20181001-0001.jpeg
 
Nawaapiza ukipata mlo huu lazima mwenza wako akimbie kwa shoo, sikulazimishi jaribu one day then majibu utayaleta kwa hapa kama ushahidi. Kwichikwichi yake sio mchezo 6×6 per sleep.....
View attachment 883842
Ulichofanya hapo ni kujaza Wanga tu kwa wingi na protini kidogo mkuu hakuna cha kustajabisha.
 
Kila kitu kipo. Wanga (starch) inapokuwa metabolized end product ni glucose ambayo ndiyo hutumika kuproduce energy. Brain cell hutumia glucose exclusively na ukiishiwa glucose unaweza collapse kwa hypoglycemia. Bila brain cells kuwa active huwezi kuwa sexually aroused vizuri. Sambamba na hilo, mleta mada kapost picha ambayo ina vyakula vingi katika hivyo kuna KARANGA, hizi huongeza heshima chumbani kutokana na kuwa na NITRIC OXIDE. Nitric oxide huwa ni vasodilator hiyo kufanya blood circulation kwenye uume kuwa vizuri na uume kusimama vizuri. Protein pia ipo. Nyama ina protein na hayo mahindi kiasi yana protein. Kwa kifupi namuunga mkono mleta mada.
 
Nyagi hapo kwa back side hujaiona?? Au macho yako ya KAGERE?
 
Hahahahaha aaaa andaa msosi wako ukimbize kwa shoo one day anaekulia pesa zako anaweza akakurusishia siku nyingine chanchiii
Hilo bakuli la supu ya kuku na sinia la mihogo kama nitoke nalo mbio vile!
 
Ni katika kuonyesha msisitizo wa jinsi ninavyopenda supu ya kuku wa kienyeji na mihogo ya kuchemsha nikishushia na juice ya ukwaju.
Ulivyotaja sasa Juice ya Ukwaju kama nitoke hapo barabarani nikanunue kwani ndio ugonjwa wangu aisee
 
Kila kitu kipo. Wanga (starch) inapokuwa metabolized end product ni glucose ambayo ndiyo hutumika kuproduce energy. Brain cell hutumia glucose exclusively na ukiishiwa glucose unaweza collapse kwa hypoglycemia. Bila brain cells kuwa active huwezi kuwa sexually aroused vizuri. Sambamba na hilo, mleta mada kapost picha ambayo ina vyakula vingi katika hivyo kuna KARANGA, hizi huongeza heshima chumbani kutokana na kuwa na NITRIC OXIDE. Nitric oxide huwa ni vasodilator hiyo kufanya blood circulation kwenye uume kuwa vizuri na uume kusimama vizuri. Protein pia ipo. Nyama ina protein na hayo mahindi kiasi yana protein. Kwa kifupi namuunga mkono mleta mada.
Njoo PM kaka ili unipatie # yako nikutumie Pesa ya Juice ya Ukwaju
 
Back
Top Bottom