masanjasb
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 2,364
- 869
Kuna uzi ulianzishwa humu wenye kichwa cha habari"Chadema kumtaja kigogo wa biashara ya ving'amuzi" na mie nikachangia Uzi huo na kuahidi kuwapa uhondo naofaidi kwa kupata channel za kibongo bila king'amuzi,ila ni kwa wale wenye LCD'LED'na PLASMA tu. Chukua Remote yako kuna sehemu imeandikwa TV na AV wewe bonyeza TV then italeta neno DVB then click neno Search itakuletea Radio stations kibao za kibongo na TV karibia zote,ITV,EATV,ChTEN,ClOUDTV,STARTV etc japo itakuwa shida sana kwa wengine koz Remote zinatofautiana ila ikileta neno Analogue endelea kubonyeza mpk lije hilo neno la DVB-auto ebu tujaribu kwa wale watundu wa Tv,nimechelewa kuanzisha Uzi sababu ya kutaka wote tuwe tumetulia home hasa mida hii ya Taarifa za habari and al that,tutaendelea kufahamishana nipo On! NAHISI TCRA WAMECTUKIA NAONA KAMA CHANNEL ZINAPOTEA VILE!
Mods mnaweza iunganisha hii na ile nyingine
Mods mnaweza iunganisha hii na ile nyingine