hii ni kwa wanaJF wote

hii ni kwa wanaJF wote

asante mkuu........nimepata ITV........nilikuwa naboeka sana kuliangalia li TBC........
 
Kuna baadhi zina DVB Digital Video Broadcasting.Ila ata kama TV ina DVB uwezi pata channels za TV for free!.Zipo scrambled.Kwa special order zipo kama zile za Star Media zenye Built in Decoders,still need to pay! Mtoa Uzi acha kupotosha jamii
 
Kama napotosha ya nini uje kusoma Uzi wangu? Wenzako tunakula vyombo free wewe unakereka?
 
asante mkuu........nimepata ITV........nilikuwa naboeka sana kuliangalia li TBC........

Kuna jamaa hataki kuamini kama inawezekana,Nchi za nje kama Uk wanatumia hyo
 
hivi vitu nilikuwa na vipata kitambo sasa hivi inaniambia niweke antena vizuri sijui shida ni nini?
 
hivi vitu nilikuwa na vipata kitambo sasa hivi inaniambia niweke antena vizuri sijui shida ni nini?

Mbona mie ctumii antena tena hapa,japo naona channel zote zimepotea ghafla labda jamaa wameona wazitoe kabisa sababu ni bure amani u siamini mie nina mda nacheck free leo nimewatonya ndio hazionekani tena
 
Ikumbukwe pia sio LCD TV zote ni digital TV. Kipindi hiki cha kuelekea ukomo wa matangazo ya anolojia, tujiepushe na taarifa za kuwachanganya wananchi. Kwa taarifa rasmi Na zenye kuelezea bayana uhamaji kuelekea dijitali pata www.tcra.go.tz angalia chini kushoto webpage Digital Broadcasting. Au fuatilia kupitia www.facebook.com/TCRA1
 
TCRA hili jukwaa pia linawahusu hivyo ni vyema kutembelea mara kwa mara kuweka mambo sawa hiyo facebook wengine hawana account huko.
 
Last edited by a moderator:
TCRA mnaweza ita watu wazushi ila katika watu waliofanya hivyo vitu kuna rafiki zangu kama 30 wote wanapata matangazo bila hicho kidude chenu ila since jana kuweka tu huu uzi ndio channel zimepotea nikaunga tena king,amuzi,kawaida yenu kukanusha na wala hamtaki ndugu zenu tufaidi ufree wa channel za kobongo bila antena,yote kheri lkn
 
he jamani makubwa haya ya kidigitariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,kwa hiyo ukipata hiyo dvb,haiitaji antenna wala signal kutoka kwenye dish?
 
Back
Top Bottom