amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
tena mueleze my sister kunywa mirinda kama underage kama mgonjwa bora cocacola utachanganya na yale mambo yakoMie ndo haniwezi kabisaaa...
Afu mtu mwenyewe anakunywa kitu cha kuleta nzi!
tena mueleze my sister kunywa mirinda kama underage kama mgonjwa bora cocacola utachanganya na yale mambo yakoMie ndo haniwezi kabisaaa...
Afu mtu mwenyewe anakunywa kitu cha kuleta nzi!
chezea kitu cha brazilian au kichina yeye mw
enyewe kwanza anakunywa mirinda.
Kaisifia mpaka tamu
afu eti anataka waliokata kata kishule shule uh
ubahili tu unamsumbua
Unashabikia nini sasa?Vigezo vinazingatiwa
umeona eee hawa madogo wanaboa sana wanaendekeza njaaa na masharti eti akate kishuleshule na fanta juuUmeona ee...hana lolote na njaa zake.
umeona eee hawa madogo wanaboa sana wanaendekeza njaaa na masharti eti akate kishuleshule na fanta juu
wewe mirinda tamu ha ha utanidrive crazy kwa mirinda au?
labda kwa mgegedo..........
Mie ndo haniwezi kabisaaa...
Afu mtu mwenyewe anakunywa kitu cha kuleta nzi!
nani wakunyweshwa fanta...kazi kuletea wenzako nyuki......!!! woooi......katafute watoto wa shule bwna ukumbi wa watu na heshima zao huu.......ebu......