Hii ni kwa akina dada tu

Jamani naomba mnipe uzoefu wenu akina dada hasa kwa wale wenye hii tabia ya kuzira kuongea na wenzi wenu na kusitisha huduma zote wakati mwingine bila taarifa. Yaani bila hata ya mhusika kujua hasa chanzo cha hivyo vikwazo vya kimahusiano.

Hivi huwa mnapata faida gani au kuna satisfaction gani mnayopata kwa kuamua kuzira kuongea, kula, kutoa huduma nyeti na wakati mwingine kupika?

Poleni kwa wale mtakaokwazika kwa hili swali.

inawezekana kaongea sana juu ya kilichomfanya azire lakini hukumuelewa kwa hiyo kaamua kutumia njia nyingine. kaa ongea naye mmalize kuchuniana na kuzira cyo vzr hasa katika mahisiano.
 
Back
Top Bottom