Nadhani matatizo ni ya pande zote. Mwanaume makini hakimbii matokeo ya 'uzembe' ama starehe zake. Na mwanamke makini hujihusisha na mwanaume makini. Kuna wanawake wazushi, na wanaume wazushi pia. Some baby mamas are nothing but drama, to the point you're forced to let them be who they wanna.

Kweli kabisaa, kwenye hili wanaume ndio majanga.
We ona hata kauli zao humu ndani mwanamke akiwa jeuri utasikia "we dawa yako kukumimba tu" sasa unajiuliza hivi huyu anatumia ubongo kweli kufikiri? Hafikirii kuwa kiumbe kitakachozaliwa ni damu yake na itateseka kwa kukosa malezi yake!!!
Na wengine hufikiri malezi ya mtoto ni kutoa hela tu! Laiti wangejua!!!
mkuu utakuwa umekurupuka..hivi mwanamke uwa anaamua tu kuwa nataka kulea mtt mwenyewe?
Mhhh inategemea na mahusiano yangu na huyo baba wa mtoto
Kama alimkataa ntamlea mwenyewe na apite vile
Mtoto akija muulizia dingi ake
Namwambia ashakufaga hukoooo
oveeeer
Hata kama utasema kuwa alisha kufa bado atahitaji umwambie ukoo wake pia ukisema hujui hata rafiki wa babaMhhh inategemea na mahusiano yangu na huyo baba wa mtoto
Kama alimkataa ntamlea mwenyewe na apite vile
Mtoto akija muulizia dingi ake
Namwambia ashakufaga hukoooo
oveeeer
Sijakurupuka ila labda hujaelewa
Kama wazazi hawaelewani basi mama anatakiwa afanye kila jitihada ili baba wa mtoto achangie malezi ya mtoto ili mbeleni asije kumlaumu mtoto kwa kuanzisha mahusiano na baba yake
hivi ukimlea mtoto wako whether ni single father au single mother unakuwa na perception unalea mtoto wa mtu??
mtoto wako ukimlea ukampa maisha bora akimtafuta babake ki mpango wao wawili haina adhari yoyote hali yakuwa keshajitambua..
wanawake wengi sio kwamba hawapendi kusaidiana na wazazi wenza kulea la hasha, wanaume wengi mkizaa kama akiomba papuchi humpi matumizi ya mtoto kutoa ni kazi sana( hii ndo siri msoijua wengi) wakati mwingine anatoa lakini kwa kejeli, karaha, masimango , mashariti kibao kiasi ambacho unapata stress zakukupunguzia umri wa kuishi.
kuliko hayo yote yakukosa amani mtu anaona bora amtunze mwanawe kwa kidogo alonacho ila awe na amani.
Sasa akiomba si unampa tu unabana yanini mbona mwanzo ulimwachia mpaka akatia mimba.
unavyosema mpaka mimba hivi unafikiri mimba inatungwa kwakufanya mara milioni au?? anyway najua tatizo ni IQ ,
Speaking out of experience?
Kwa nini usimpe hiyo papuchi kama ni mzazi mwenzio. Hivi unamnyima alafu unataka akaitaftie wapi?hivi ukimlea mtoto wako whether ni single father au single mother unakuwa na perception unalea mtoto wa mtu??