Hii ni kwa ajili ya single mother

Hii ni kwa ajili ya single mother

Ila kiukweli sio single mothers wote wanapenda kulea peke yao wakati mwingine inabd tu sababu upande wa pili hautoi ushirikiano wa kutosha ktk malezi ya mtoto!!
 
Nadhani matatizo ni ya pande zote. Mwanaume makini hakimbii matokeo ya 'uzembe' ama starehe zake. Na mwanamke makini hujihusisha na mwanaume makini. Kuna wanawake wazushi, na wanaume wazushi pia. Some baby mamas are nothing but drama, to the point you're forced to let them be who they wanna.

Speaking out of experience?
 
Uko sawa..ila kwa kesi nyingi nilizoziona..wanaume ndo uwa tatizo..sawa uzembe wa mwanaume/ mwanamke au wote wawili unaweza kupelekea mimba kupatikana..ila ndo ishapatikana sasa..nini kifanyike??..hapo ndo drama za mtt wa kiume zinapoanza..
 
hivi ukimlea mtoto wako whether ni single father au single mother unakuwa na perception unalea mtoto wa mtu??

mtoto wako ukimlea ukampa maisha bora akimtafuta babake ki mpango wao wawili haina adhari yoyote hali yakuwa keshajitambua..

wanawake wengi sio kwamba hawapendi kusaidiana na wazazi wenza kulea la hasha, wanaume wengi mkizaa kama akiomba papuchi humpi matumizi ya mtoto kutoa ni kazi sana( hii ndo siri msoijua wengi) wakati mwingine anatoa lakini kwa kejeli, karaha, masimango , mashariti kibao kiasi ambacho unapata stress zakukupunguzia umri wa kuishi.

kuliko hayo yote yakukosa amani mtu anaona bora amtunze mwanawe kwa kidogo alonacho ila awe na amani.
 
Kweli kabisaa, kwenye hili wanaume ndio majanga.
We ona hata kauli zao humu ndani mwanamke akiwa jeuri utasikia "we dawa yako kukumimba tu" sasa unajiuliza hivi huyu anatumia ubongo kweli kufikiri? Hafikirii kuwa kiumbe kitakachozaliwa ni damu yake na itateseka kwa kukosa malezi yake!!!
Na wengine hufikiri malezi ya mtoto ni kutoa hela tu! Laiti wangejua!!!

Yeah..ni kweli,wapo wanaume ufanya hivyo kama kuwakomoa wanawake..so bad kwa kweli..kuwa baba sio kazi ila kuwa baba mlezi ndo tatizo la wengi
 
Baadhi ya wanaume wanasababisha watoto kulelewa na mama pekee....hata kama kuna tatizi pande zote haitakiwi mtoto kudhurika sasa unakuta toka mimba hadi chuo kikuu baba hajui linalomuhusu mtoto unategemea mwisho umweleze mtoto baba yake yupo hai big no
 
...mada ya single parenting, hasa single mother haikosi humu weekly.
..mwisho wa siku, ubinafsi wa wazazi unawaumiza sana watoto.
 
Hizi mada nazo haziishi, waache jamani single mama watunze watoto wao as long as wapo happy na lifestyle yao.
 
Mbona watu mnajali sana Single mothers? Si muwasaidie kulea basi?.Kila siku single mothers, single mothers mnahuruma sana? Wengine washaona wanaume hawana faida kwao lakini bado mnalazimisha. Wengine wanawakimbia hao wanawake na kuoa wengine ujue nawewe watoto wako au dada zako wanaweza kuishia kuwa single mothers. Au mnataka wakishajifungua wawabwagie watoto milangoni na nyie mlee?
 
mkuu utakuwa umekurupuka..hivi mwanamke uwa anaamua tu kuwa nataka kulea mtt mwenyewe?

Sijakurupuka ila labda hujaelewa

Kama wazazi hawaelewani basi mama anatakiwa afanye kila jitihada ili baba wa mtoto achangie malezi ya mtoto ili mbeleni asije kumlaumu mtoto kwa kuanzisha mahusiano na baba yake
 
Ni suala la kuamua tu,ujipange kumtimizia mtoto wako kila kitu on time au usubiri mpaka umbembeleze mtu ambaye haoni kuwa hilo ni jukumu lake pia na hata akitoa atatoa late sana baada ya kukumbushwa kila Mara!!!

Hizi thread za single mothers zitoshe sasa
 
Mhhh inategemea na mahusiano yangu na huyo baba wa mtoto
Kama alimkataa ntamlea mwenyewe na apite vile
Mtoto akija muulizia dingi ake
Namwambia ashakufaga hukoooo
oveeeer
Hata kama utasema kuwa alisha kufa bado atahitaji umwambie ukoo wake pia ukisema hujui hata rafiki wa baba

Mwisho wa siku atampata baba yake,na upendo atakao muonyesha hakika utaumia sana moyoni

Kwa hiyo ni bora mshirikiane toka mwanzo kumlea
 
Sijakurupuka ila labda hujaelewa

Kama wazazi hawaelewani basi mama anatakiwa afanye kila jitihada ili baba wa mtoto achangie malezi ya mtoto ili mbeleni asije kumlaumu mtoto kwa kuanzisha mahusiano na baba yake

Mama afanye jitihada!? We hujui mama anahitaji hela ya clinic? Hujui dayati yake inabidi ibadilike et. Ajitahidi nini? Hujui mtoto anatakiwa kwenda shule? Mwanao akitaka akutafute tu ila kabla hajafanya hayo ntamwambia ukinibaka na ukukasema tuue kiumbe nilipokataa ndo akakimbia so akikutafuta shauri lake atachagua mzazi mmoja...mbakaji na muuaji au akiyemlea kwa taabu.
 
hivi ukimlea mtoto wako whether ni single father au single mother unakuwa na perception unalea mtoto wa mtu??

mtoto wako ukimlea ukampa maisha bora akimtafuta babake ki mpango wao wawili haina adhari yoyote hali yakuwa keshajitambua..

wanawake wengi sio kwamba hawapendi kusaidiana na wazazi wenza kulea la hasha, wanaume wengi mkizaa kama akiomba papuchi humpi matumizi ya mtoto kutoa ni kazi sana( hii ndo siri msoijua wengi) wakati mwingine anatoa lakini kwa kejeli, karaha, masimango , mashariti kibao kiasi ambacho unapata stress zakukupunguzia umri wa kuishi.

kuliko hayo yote yakukosa amani mtu anaona bora amtunze mwanawe kwa kidogo alonacho ila awe na amani.

Sasa akiomba si unampa tu unabana yanini mbona mwanzo ulimwachia mpaka akatia mimba.
 
unavyosema mpaka mimba hivi unafikiri mimba inatungwa kwakufanya mara milioni au?? anyway najua tatizo ni IQ ,

Lakini single mother tayari amekutia mimba hata kama ni mara moja mlifanya haijalishi hukumpenda which is not true anyway kwanini umkatalie au umepata mwingine? Nafikiri ungekubaliana nae mngesaidiana vizuri kumlea mtoto. Kuhusu mimi kuwa na tatizo la IQ isikupe tabu watu hatufanani.
 
mkuu utakuwa umekurupuka..hivi mwanamke uwa anaamua tu kuwa nataka kulea mtt mwenyewe?

Fact!!
 
hivi ukimlea mtoto wako whether ni single father au single mother unakuwa na perception unalea mtoto wa mtu??

mtoto wako ukimlea ukampa maisha bora akimtafuta babake ki mpango wao wawili haina adhari yoyote hali yakuwa keshajitambua..

wanawake wengi sio kwamba hawapendi kusaidiana na wazazi wenza kulea la hasha, wanaume wengi mkizaa kama akiomba papuchi humpi matumizi ya mtoto kutoa ni kazi sana( hii ndo siri msoijua wengi) wakati mwingine anatoa lakini kwa kejeli, karaha, masimango , mashariti kibao kiasi ambacho unapata stress zakukupunguzia umri wa kuishi.

kuliko hayo yote yakukosa amani mtu anaona bora amtunze mwanawe kwa kidogo alonacho ila awe na amani.
Kwa nini usimpe hiyo papuchi kama ni mzazi mwenzio. Hivi unamnyima alafu unataka akaitaftie wapi?
 
Back
Top Bottom