Ubaya au uzuri ni kwamba haya machungu tunayapata wote,hakuna cha ccm au cdm,labda yule ccm ambaye yupo kwenye mrija wa unyonyaji huu..lakini hata hivyo shangazi au mpwa wake kule kijijini anayaonja haya machungu...nchi inatawaliwa na watu wenye roho mbaya,wanakesha kwa kupanga jinsi ya kumkwamua mnyonge ili waweze kujinufaisha wao na familia zao..hapo hapo unamkuta zuzu fulani linatete bila kujali kwamba kuna ndugu au watanzania wenzake wanaumia..nawapa pole sana wale ma diehards wa ccm hii dhahama ni yetu wote.wanao nufaika ni wachache mno..serikali kupitia kodi za line itakuwa inakusanya sio chini ya 30bilioni kwa mwezi..lakini matumizi yake yataishia kwenye alowance,mashangingi,trip za kipuuz nje na ndani ya nchi,kampeni za ccm nk..ni aibu kubwa serikali kuwakamua wananchi wake kwa manufaa ya wachache waliopo madarakani..kodi tunalipa lakini kijijini kwetu kufika kwenye zahanati ni 50km.jaman tuoniane huruma,nyie kuepo hapo sio kwamba mnapendwa sana na mungu,ni mfumo tu wa kimaisha.